Hivi pesa inapatikana wapi?

Hivi pesa inapatikana wapi?

Nmeanza kwa kutatua changamoto, nlienda huo mtaa una shule tatu ila hamna stationery nlihitaji copy hakuna yani stationery ipo mbali mno kwahiyo nikaweka stationery hapo.....cha kwanza hicho.
Pia hakukuwa na biashara za miamala kabisa huduma ipo mbali nikaweka pia, Naendelea na kutatua changamoto zingine pia ambazo ndio fursa zenyewe.

Umeelewa sasa nlichoandika pale juu???
Nilikuwa nadharau biashara ya stationery kumbe Inatoa pesa nyingi
 
Pesa nyingi bila shaka zinapatikana kwenye biashara zote halamu.
Pia serikalini kuna pesa nyingi sana ambazo ni kodi zetu wananchi na viongozi wa serikalini wanazifuja.
Epuka utapeli wa kwamba pesa zinatolewa kwa muujiza fulani, kwamba kuna jini linaweza kukupatia pesa huo ni utapeli.
Pesa ni kitu halisi, siyo kitu cha kiimani.
Kwahiyo pesa zote zinatoka BOT na siyo kwamba kuna mzimu fulani unaweza kuzalisha na kukupatia pesa.
Hukoseagi mzee
 
Nimeenda migodini nimepiga veni na kanyero za kutosha sijapata pesa

Nimeingia porini kata miti na mbao sikupata pesa

Nimesoma hadi chuo pia olaa

Biashara ya uwakala, mitumba, viatu, viwanja, nyumba kote sijapata pesa

Oya pesa inapatina wapi mazee
 
Back
Top Bottom