Hivi pesa inapatikana wapi?

Hivi pesa inapatikana wapi?

ukienda kwa mo au Bakheresa au GSM awawezi kuambia kitu au siri yoyote zaid watakuambia piga kazi kwa bidii
Nazichimba izo siri mwaka huu auishi nishazijua hawezekani wawe mabosi pekeao ubinafsi tu

Wao wangefanyiwa siri wangekuwaje maboss kumbuka siri ni ya mtu mmoja
 
Hela azijawai kutosha ndio maana hadi Leo Elon Bado anazitafuta, mwisho wa kutafuta Hela ni mpaka kiama
Elon musk anaweza kukaa hadi miaka 30 bila kufanya kazi na mahitaji yote akapata na huko ndio kutoshea kwa pesa wewe mwezi tu ukipita hujafanya kazi ya kuingiza pesa wafa
 
Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha

Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?

Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi

Karibuni
Chanzo ni mfumo wa roho yako kwanza.......iwe activated....kwa mfano umeshakwenda kwa mganga ukapewa dawa kisha ukapewa masharti kwamba usilale na mwanamke ili dawa iweze kufanya kazi.?
Kwanza tafuta madhabahu unayoiamini wewe.........
 
Kwa uelewa wangu, mitego ya pesa ipo kwenye fursa zilizopo mtaani hizi fursa huweza kuwa ni changamoto na matatizo ya watu mfano Mwamposa anatembelea V8 kutokana na matatizo ya watu na sikuhizi kuna watu wanauza machine za kukunia nazi kwahiyo wametumia fursa kutengeza pesa.

Ila kuconvert fursa kuwa hela ndo kunahitaji akili.
Kabisa
kutokana na ukosefu wa nguvu za kiume wadada wamekuwa wateja wazuri wa vimidoli mfano wa uume kwa ajili ya kupigia nyeto.
Hiyo pia ni fursa ya kutengeneza na kuwauzia.
 
Elon musk anaweza kukaa hadi miaka 30 bila kufanya kazi na mahitaji yote akapata na huko ndio kutoshea kwa pesa wewe mwezi tu ukipita hujafanya kazi ya kuingiza pesa wafa

Elon musk anaweza kukaa hadi miaka 30 bila kufanya kazi na mahitaji yote akapata na huko ndio kutoshea kwa pesa wewe mwezi tu ukipita hujafanya kazi ya kuingiza pesa wafa
Nani kakudanganya Elon awezi kukaa miaka 30 bila kufanya kazi anajuwa pesa zitaisha ndio maana anaendelea na kazi, ayo maneno uwa mnajidanganya tu nyie uko kwenye kahawa.
 
Nani kakudanganya Elon awezi kukaa miaka 30 bila kufanya kazi anajuwa pesa zitaisha ndio maana anaendelea na kazi, ayo maneno uwa mnajidanganya tu nyie uko kwenye kahawa.
Huyo mwamba anaweza kukaa sio miaka 30 tu yaani anaweza kuishi mpka anakufa kwa hela alizonazo bila kufanya kazi za kuteseka kama wewe.

Hao ni watu waliowekeza kwenye stocks za makampuni makubwa zinazompa faida hata bila uwepo wake, kama unaelewa mfatilie mzee anaitwa Warren Buffet ni CEO wa Berkshire Hathaway alianza kununua hisa akiwa na miaka 14 yule mzee amekuwa tajiri miaka yake yote na mpka sasa anashikilia nafasi kwenye list ya forbes billionaire na hafanyi biashara za uchuuzi ni stock market ndo anadili nayo.

Kinachowafanya wazidi kufanya kazi kwa bidii ni kumaintain utajiri wao na kuzidi kuwa kwenye top list ya billionaires wa Dunia na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom