okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,631
Unaambiwa magufuli alitageti aifungie Ipp media yote
Sema Wazee wenye busara walimfuata akaambiwa utasababisha mtikisiko
Ndio akaamua kuwapiga mkwara wapunguze ukosoaji
hahaa kuifungia ipp media yote, basi magu alikuwa na chuki binafsi na mengi..shida si kukosolewa tu, kuna la ziada
Victor wa happy