To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 28,722
- 67,026
Sasa cha kufanya....,usiangaike na wa humu mpenz....mkubalie mmoja wa mtaani kwenu au Kanisani kwenu mamaFanya hivi nilichitwa 2013 hadi 2019 nilimpata mjibababa for 4 month akataka niwe second wife nikakataa akaja mmoja nasijadumu naye wala tokea hapo 2019 hadi now sina uhusiano mzuri na mtu kweli hadi sasa. Miaka 12 sina wa kwenda msikitini wala wa kwenda kanisani