Wanaume ingieni kwenye mahusiano na wanawake wenye hela

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Nimekuja hapa najua wengi mtapinga na wengi mtasema mapenzi ni upendo mara kuvumiliana au hisia ila mapenzi ni kusaidiana na kukamilishana kimsaada na siyo kama mnavyodanganyana, mwanamke masikini hawezi kukusaidia bali atakurudisha nyuma.

Sisi tulipewa majukumu ila wao waliambiwa watusaidie. Kama mwanamke wako hana hela wala afanyi chochote cha kumuingizia kipato atakusaidia nini zaidi ya kukufilisi na kukuacha masikini ufe ukachomwe moto

Mke , mchumba au mpenzi mwema lazima awe na kipato ( hela ) halali hata kama ni kidogo

Wanawake wenye hela hawasumbui kabisa na akikupiga mizinga wala haumizi kama mwanamke masikini na asiye na chochote maana anakua anakupitisha kweye tanuru la kukupima kama wewe ni mchoyo au mtoaji au ni mwanaume kweli kweli na siyo mvulana , mwanamke mwenye hela akikuomba hela hamaanishi ila anakupima kiwango cha ubinafsi wako na akili zako za kung'amua mambo upesi.

Wengi mtasema cha kwao ni cha kwao, ila changu ni chetu kutetea umasikini ila siyo hela ya mwanamke inatumiwa kijanja kusaidia kuongezea vitu , kufungua miradi au kupiga tafu kwenye ujenzi, au mambo ya hapa na pale na siyo kuitumia kwa kumnyang'anya kwa mabavu, unazitumia kiakili tuu hela zake. Oa mwanamke mwenye hela, kuwa na mchumba mwenye hela , kuwa na demu /mpenzi mwenye hela acha kufungamana na nyonya damu alafu uje hapa useme maisha ni magumu.

Wao wenyewe hawataki mwanaume masikini wanataka mwenye hela

kwa sababu wanajua mwanaume masikini hatomsaidia chochote bali atampa mzigo maisha yake yote na kumrudisha nyuma, vijana acheni uoga tongoza mwanamke mwenye hela alafu tumia akili kuishi nae na kuchezesha hela zake kwenye maendeleo.

Kutumia hela za mwanamke ni tamu sana , sasa nyie endelee na hao wanawake zenu ambao hata ukimwambia akupe jero ya kukangua vocha anakuambia sina na hapo umetoka kumpiga shopping ya maana.

Hakikisha mwanamke wako ana hela zake anaopata mwenyewe kihalali hatakama ni kidogo sana ila awe na hela.

Wanaume ingieni kwenye mahusiano na wanawake wenye hela kumbuka mwenye nacho ataongezewa asie nacho hatopata kabisa. Pia kumbukeni moja ukiongeza moja unapata mbili. Ila moja ukiongeza sifuri unapata moja ile ile na ukicheza hata hiyo moja itaisha yote.

Acheni uoga wanaume hakikisha mwanamke wako unayedate nae ana hela tofauti na hapo mpe wazo la kupata hela kama upeo wake utakuafinyu achana nae haraka huyo atakufanya masikini na kukubebesha gunia zito la misumari yenye ncha kali.
 
2024 yaja.
 
Oa mwanamke mwenye hela, kuwa na mchumba mwenye hela , kuwa na demu /mpenzi mwenye hela acha kufungamana na nyonya damu alafu uje hapa useme maisha ni magumu.

Mkuu may be ushauri wako ni mzuri ila sababu zako bado ni Dhaifu sana. NDOA ni taasisi ambayo ina sheria, taratibu na misingi yake. Mwanamke anawajibu wake katika NDOA na Mwanaume pia ana wajibu wake.

Hakuna wajibu wa mwanamke katika NDOA unaohitaji mwanamke awe na pesa ili atimize huo wajibu.

so kwenye swala la NDOA Mwanamke sio lazima awe na PESA, ila Mwanaume ni LAZIMA AWE NA PESA, kwa sababu wajibu wa mwanaume kwenye NDOA unamuhitaji awe na uwezo KIUCHUMI ili aweze kuutimiza.
 
Ukweli msiopenda kuusikia ni kwamba ndoa ni taasisi ya kiuchumi iliyoundwa na watu wawili wenyejinsia mbili tofauti (kiume na kike) walio na uchumi tofauti tofauti katika kukamilisha makubaliano yao binafsi kwa pamoja ili kuendeleza mpango wao wa kifamilia nahaijalishi ni aina gani ya familia

Ili mwanamke awe mke mwema kwenye hiyo unyoiita ndoa ni lazima awe na kipato rejea kwenye maandiko matakatifu.
 
Back
Top Bottom