Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
pale juu pameandikwa 'Great Thinker' kwaiyo kila mtu hapa ni mkuu, anachangia hoja za maana. Ukija na upuuzi unashushwa haijalishi we ni mkuu wa mkoa na anayekukosoa ni office attendant wako. We ni mtumishi mkuu na anayekubishia ni muumini wako. Karibu Mkuu!
 
Ok,sasa nimeanza kuelewa kumbe hii mkuu ni ile ya GREAT THINKER?
 
wakuu! huyu aliyeshauri kuongeza "NDU" hana adabu. Operation tokomeza awamu ijayo itaanzia kwake!
 
SaSA MKUU.....HApo weee unaonaje....ila kaaaah mie hoi.....🙁🙁😀🙁😀😀😀😀
 
Usiku mwema mkuu

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
pale juu pameandikwa
'Great Thinker' kwaiyo kila mtu hapa ni mkuu, anachangia hoja za maana.
Ukija na upuuzi unashushwa haijalishi we ni mkuu wa mkoa na anayekukosoa
ni office attendant wako. We ni mtumishi mkuu na anayekubishia ni
muumini wako. Karibu Mkuu!

Mkuu Mama Joe hii imetulia sana.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Nadhani mtakubaliana na mimi kuwa siku hizi matumizi ya neno mkuu yamepungua sana, nadhani hii imetokana na wanachama wapya wengi na wale wakongwe siwaoni tena watu kama kina Nyanigabu @figaniga Secret Service nk
 
Wakuu,

Nadhani mtakubaliana na mimi kuwa siku hizi matumizi ya neno mkuu yamepungua sana, nadhani hii imetokana na wanachama wapya wengi na wale wakongwe siwaoni tena watu kama kina Nyaningabu figganigga Secret Service n.k.
 
Last edited by a moderator:
mmhhhh! ngoja tusubiri wakongwe waje wajitetee wenyewe
 
Back
Top Bottom