Kwako mataputapu ni yanayouzwa kuanzia sh. Ngapi boss?hatua ya kwanza kuacha pombe ni kuacha pombe za bei nafuu yaani mataputapu
Na wewe ni mlevi wa pombe?Uwongo wa hali ya juu!
Soma nimejibu nini kijana mdogo!Na wewe ni mlevi wa pombe?
Kama inakuletea maafa kuliko mafanikio iache tu ndugu yanguNimeanza kunywa pombe toka 2005 mpaka leo .....ila nimejaribu kuacha nimeshindwa ...japokuwa naamini ipo siku nitaacha tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu wengi..!! wangapi kama sio 3 kati ya 100,000?Soma nimejibu nini kijana mdogo!
Kuna watu wengi nawajua wameacha pombe kabisa!
Binadamu akinuia kitu lazima atakipata!
AKINUIA!
That’s all
Anaanzaje kuiacha?Kama inakuletea maafa kuliko mafanikio iache tu ndugu yangu
hongera kama ni kweli, lakini you are most likely kurudi tena kwenye ulevi huko mapunzikoni tu.Mimi hapa.
Kwa sasa huwa nakunywa chupa moja ya ciroc kila mwezi.
Sijui Kama nimeacha lkn huu ni mwaka wa tisa bila kunywaWazee wenzangu (mabibi na mabwana),
Natumaini mko wazima kabisa.
Mimi ni mwanaume, na nafikisha miaka 30 this year.
Unajua kwenye maisha kuna mambo mengi tunafanya kwa kukusudia yawe mazuri au mabaya, ila mara nyingi tunajutia yale mabaya.
Najuta sana kuwa addicted na Bia, na ninaona kabisa ni adui yangu ila haipiti siku bila kuuweka, this hurts me sana.
Kuna aliyeweza kuacha bia kabisa na aliwezaje?. Natamani niache, chaah! this too much.
NB: Ushauri wa kukaa mbali na vishawishi au mbali na washkaji nishajaribu na haujafaa, maana kiu ya bia hatari sana. Hata ukikaa mwenyewe utaitafuta.
ntakutafuta Mkuu, kabla ya mwaka kuisha, Ila kreti liwe la maji na Soda, Challenge acceptedUkifanikiwa kuacha nakupa zawadi ya kret moja..mimi nipo kwenye mpango mkakati wa kufanya upembuzi yakinifu wa kuandaa mpango kazi wa namna gani ya kuishi bila kunywa
Nalo hili nilifanya,Mimi ni mmoja wa waioacha pombe . Kila nikipata pesa naweka heshima bar , ila kuna soku nilishukiwa na roho wa bwana akaniambia kila ninapokunywa niandike kumbukumbu . Nilipoona kiasi cha pesa kwa mwezi nimeacha kabisa hata harufu yake siipendi .
Sent using Jamii Forums mobile app
naona uko mapunzikoni...jitahidi mapunziko yawe ya muda mrefu basi
Huwezi kuacha labda ufe! Nina uhakika na nikisemacho
Ukitaka kuacha Pombe tafuta Mdizi uchane katkat utakuta kile kama kamrija iv kaponde ponde iv alaf yale majimaji yake yanywe fanya ivo kwa siku tatu asubuh na jion na kuanzia hapo ukinywa pombe utatapika kupindukia na kuanzia hapo pombe itakua Basi. Sitanii wakuu mtu afanye hvo then arud hapa kutoa shuhudaWazee wenzangu (mabibi na mabwana),
Natumaini mko wazima kabisa.
Mimi ni mwanaume, na nafikisha miaka 30 this year.
Unajua kwenye maisha kuna mambo mengi tunafanya kwa kukusudia yawe mazuri au mabaya, ila mara nyingi tunajutia yale mabaya.
Najuta sana kuwa addicted na Bia, na ninaona kabisa ni adui yangu ila haipiti siku bila kuuweka, this hurts me sana.
Kuna aliyeweza kuacha bia kabisa na aliwezaje?. Natamani niache, chaah! this too much.
NB: Ushauri wa kukaa mbali na vishawishi au mbali na washkaji nishajaribu na haujafaa, maana kiu ya bia hatari sana. Hata ukikaa mwenyewe utaitafuta.
another imaginary assumptionkuacha inawezekana 100%. ila kwa umri wako inabidi ufanye kazi ya ziada, wale wenye age kubwa nirahisi zaidi.
hahahahaha chezea gambe weweNilipumzika miaka miwili ila nilivyowasha gari tena ni balaa,hapa naandika hii post nna hangover hatari hadi job nmeshindwa kwenda! NAMI NATAMANI KILA SIKU NIACHE ILA NAJIKUTA NSHAKUNYWA.