witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,770
Same....Hivi mvinyo nayo ni kundi la pombe? Teh teh, mara moja kwa mwaka angalau napooza koo na chupa ya mvinyo kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Same....Hivi mvinyo nayo ni kundi la pombe? Teh teh, mara moja kwa mwaka angalau napooza koo na chupa ya mvinyo kidogo.
Absolutely true[emoji122] [emoji122]Alcohol is mother of all evil
Sent from my SM using Tapatalk
Sijawahi kuwa mtumwa. Nadumisha Mila
Then ukawa tajiri...Binafsi nlikua nakunywa sana pombe lakini sikuwa naona faida yoyote. Nalewa...hangover kichwa kinauma. Nalewa....nikasema hivi napata faida gani.
Nikawakimbia marafiki wote walevi.
Sent using my NOKIA torch
Mimi kila siku napambana niache Pombe, hii vita nimeianza 2013 hadi Leo inanishinda ila sijakata tamaa, Mimi naweza kunywa Mara moja au mbili kwa wiki ila sasa nikinywa inanidrive hatari, naona kabisa hii ni destructive path ila inakuwa ngumu kuacha.
Baada ya maelezo yote hayo Leo Nina mwezi toka sijanywa, nataka kuquit kabisa this time
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu INAWEZEKANA KABISA kama UKIAMUA.
Mimi nilianza kinywa pombe nikiwa na miaka 14,nilikunywa aina mbalimbali zza pombe,(za kienyeji na zenye TBS)
Unywaji ulikiwa ni wa Kiwango cha KULEWA.
Unywaji wangu ulichanganya na uvutaji sigara bangi.
Baada ya miaka 7 nikiwa na miaka 22, NILIACHA VYOTE NDANI YA SIKU MOJA.
Nilienda kwenye IBADA kanisa la WALOKOLE na mwishoni mwa IBADA waliita watu KUOKOKA,nikafanya hivyo.
Kuanzia hapo KIU ya vyote hivyo iliisha,leo ni mwaka wa16 nimeachana na ULEVI!
ASANTE YESU kwa muujiza huu.
Sijaacha pombe kabisa, so this is a little bit off.
Mimi niliweza kuacha pombe kwa mwakamzima mwaka juzi, na hata sasa nikiamua kuacha naacha.
Na nikiamua kuacha, sharti langu ni kwamba niwe na mizinga ya Scotch Whisky isiyopungua mitatu ndani, na bia ziwe kwenye friji.
Halafu naamua kuacha huku naziona hizo pombe kila siku.
Hapondipo najua nimeamuakuacha.
Nikiwa sina pombe ndani, halafu nasema nimeacha, nakuwa sina uhakika kama nimeacha kweli, au nimeishiwa pombe tu.
Ndiyo maana nikasema nikiacha pombe ni lazima niwe na mizinga ya Scotch mitatu ndani, na bia za kutisha kwenye friji.Mimi huwa natofautisha kuacha na kuchwa na pombe hivi,
kuacha: Ni pale uko na pesa au uwezo wa kupata pombe lakini voluntary unaamua kutokunywa
kuachwa: Ni pale uko na kiu ya kupiga monde na nia lakini kwa kuwa huna pesa/access na pombe basi unaacha/unaachishwa kunywa.
huu mwezi naona nielekezi kabisa kwa watu wanaotaka kuacha pombe mimi naacha Agust mwaka huuMbona mi nimeacha tangu August mwaka jana
Inawezekana ukiamua tu.huu mwezi naona nielekezi kabisa kwa watu wanaotaka kuacha pombe mimi naacha Agust mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu am 38 now!!!So mkuu 22+16 ni 38?
kuwa serious basi,una uhakika na hii tibaDawa ya kuacha pombe ni maziwa freshi ya ng'ombe,
Dozi: kunywa vikombe 3 asubuh, na jioni vikombe 2 kabla ya kula, na kikombe kimoja baada ya kula (dinner) kila siku, after 7 days, hata ukilala TBL hunywi kamwe!