Naomba unipe njia ulizotumia ndugu kuacha pombeHizo njia zote unazoshauriwa zikishindikana uniambie. Mimi sio pombe tu hadi sigara niliacha.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mhuuuu ya kweli haya? Nsije poteza pesa zangu za bia bure kwa kutaka kuipa taraka pombe in a wrong way. Na pombe ikihisi unataka kuiacha hahahaha utaisom namba, mpaka binti mlokole anaweza kukupa ofa
Nyambafu kabisa hebu tule njiaMimi nimeacha sababu sijawahi kunywa kabisa.
Ukitaka kuacha, anza kwa kubadili user name. Jiite hata novida mkuu.Wazee wenzangu (mabibi na mabwana),
Natumaini mko wazima kabisa.
Mimi ni mwanaume, na nafikisha miaka 30 this year.
Unajua kwenye maisha kuna mambo mengi tunafanya kwa kukusudia yawe mazuri au mabaya, ila mara nyingi tunajutia yale mabaya.
Najuta sana kuwa addicted na Bia, na ninaona kabisa ni adui yangu ila haipiti siku bila kuuweka, this hurts me sana.
Kuna aliyeweza kuacha bia kabisa na aliwezaje?. Natamani niache, chaah! this too much.
NB: Ushauri wa kukaa mbali na vishawishi au mbali na washkaji nishajaribu na haujafaa, maana kiu ya bia hatari sana. Hata ukikaa mwenyewe utaitafuta.
BUT UKIACHA BILA DAWA NDIO SAHIHI!!Naitaka hii mzee, ngoja nije pm
INAWEZEKANA!!Ilikuwaje?interesting na.mnanipa Moyo
Mkuu hata Mimi napitia the same situation naeza kaa wiki nsinywe ila nikirudi balaa yani nakuwa kama nimejiunga bando la konyagi la mwezi mzima inaniumiza sanaWazee wenzangu
(mabibi na mabwana),
Natumaini mko wazima kabisa.
Mimi ni mwanaume, na nafikisha miaka 30 this year.
Unajua kwenye maisha kuna mambo mengi tunafanya kwa kukusudia yawe mazuri au mabaya, ila mara nyingi tunajutia yale mabaya.
Najuta sana kuwa addicted na Bia, na ninaona kabisa ni adui yangu ila haipiti siku bila kuuweka, this hurts me sana.
Kuna aliyeweza kuacha bia kabisa na aliwezaje?. Natamani niache, chaah! this too much.
NB: Ushauri wa kukaa mbali na vishawishi au mbali na washkaji nishajaribu na haujafaa, maana kiu ya bia hatari sana. Hata ukikaa mwenyewe utaitafuta.
Like serious?Ukitaka kuacha Pombe tafuta Mdizi uchane katkat utakuta kile kama kamrija iv kaponde ponde iv alaf yale majimaji yake yanywe fanya ivo kwa siku tatu asubuh na jion na kuanzia hapo ukinywa pombe utatapika kupindukia na kuanzia hapo pombe itakua Basi. Sitanii wakuu mtu afanye hvo then arud hapa kutoa shuhuda
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa....kwenye kuvuka barabara umenifurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nilianza kunywa pombe (beer) mwaka 2001 baada ya kupata ajira kwenye taasisi moja ya kiserikari,hii ilitokana na kuambatana na marafiki ambao walikuwa mapampula.Ila nilikuwa na matatizo yafuatayo: nikilewa nakuwa mkorofi kupindukia,pia nikishalewa nashindwa kuvuka barabara hii ya kigogo pale landa bar pamenitesa sana hasa usiku gari iko kigogo mwisho ikinipiga mwanga tu hata nipo katikati ya barabara nitarudi kuanza upya,mwisho asbh nilikuwa nikiamka kichwa kinauma hatari naambiwa dawa yake nikazimue tena pombe. Nikafikiria mwisho nikaamua kuachana na marafiki pampula na kuanza maisha kivyangu mpaka bia naiona kama tako la mama mkwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio gani?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Japo kuna tukio limenipata kuhusu pombe bado sijafikilia kuiacha na punguza tu
Sent using Jamii Forums mobile app