Hivi nani aliweza kuacha pombe kabisa?

Hivi nani aliweza kuacha pombe kabisa?

How was it started brother.... [emoji16][emoji16][emoji16] na mm ntaweza
Kuna dawa nili kunywa niliwekewa ktk pombe konyagi bapa ndogo, ilikua usiku nika lala vzr tu asbh nilitapika nyongo sana tena sana toka siku hayo sina hamu ya pombe tenq. Na nilikua ni gari ya pombe hadi leo nina kaa na jamaa zangu wana kunywa na mimi nina wa nunulia wana shangaa mimi sinywi. Nilikuaga nimekata tamaa kabisa kuwa mm pombe siezi acha kumbe ina wezekana
 
Kuna dawa nili kunywa niliwekewa ktk pombe kinyagi bapa ndogo, ilikua usiku nika lala vzr tu asbh nilitapika nyongo sana tena sana toka siku hayo sina hamu ya pombe tenq. Na nilikua ni gari ya pombe hadi leo nina kaa na jamaa zangu wana kunywa na mimi nina wa nunulia wana shangaa mimi sinywi. Nilikuaga nimekata tamaa kabisa kuwa mm pombe siezj acha kumbe ina wezekana
Naitaka hii mzee, ngoja nije pm
 
Mimi niliwahi kuwa kama wewe nilianza kunywa bia nikiwa high school nikawa mnywaji wa kudumu nikiwa chuo kuna kipindi nilikua siwezi kupitisha siku sijanywa.
Nilifika hatua nikawa natetemeka yani miaka 29 lakini tayari nimekua mnywaji nikiyekubuhu sasa how niliacha hapa ndipo palinitesa sana.

Nilianza kupunguza kwenda maeneo niliyopendelea kwenda sana nikawa nakunywa bia 3 kila baada ya siku mbili lakini kinywaji changu kikubwa kilikua malta na maji aisee nilikua nakunywa maji vibaya sana.

Nikafanikiwa kuwa nakunywa bia 3 kwa wiki sasa nikaanzisha saving kwa ajili ya kufanikisha jambo flani nilifanikiwa kutoigusa Bia muda sana hatimae nikafanikiwa kabisa kuto gusa bia kwa takriban miezi minne nikawa nikitoka na washkaji nakunywa tonic water mwisho nikazoea hali yangu nikawa naona kawaida kabisa.

Nikashinda mwisho nikawa nimefanikiwa na mpaka leo nasikia watu wanakunywa so sasa naitawala na sitaki itawale mwili wangu tena so far tangu mwaka jana mwezi wa pili mpaka leo sijagusa pombe

So nikwambie inawezekana but you need very high burning desire
 
Nilianza pombe 2000 hadi kufikia 2010,siku ambazo sikunywa pombe hazizidi 5,

ha ha ha,

leo ni miaka 6,tangu 2012 sijaweka pombe mwilini,
inahitaji uamzi tu,

na lazima uteseke kwa miezi miwili mitatu wakati alicohol ikitoka ndani ya mwili
 
Back
Top Bottom