Hivi nani aliweza kuacha pombe kabisa?

Hivi nani aliweza kuacha pombe kabisa?

Jambo la kwanza kujua ni kwamba hakuna linaloshindikana chini ya jua. Ni dhamira yako tu ndio inaweza kukutoa huko. Huwezi kuacha ghafla, jiwekee mpango mkakati, slowly utafanikiwa. Usisukumwe kuacha, acha mwenyewe utafanikiwa.
 
Mhuuuu ya kweli haya? Nsije poteza pesa zangu za bia bure kwa kutaka kuipa taraka pombe in a wrong way. Na pombe ikihisi unataka kuiacha hahahaha utaisom namba, mpaka binti mlokole anaweza kukupa ofa
Kweli kabsa, hata ukinusa halufu ya bia utaihisa kutapika,
Maziwa na bia maadui wakubwa
 
Ni uamuzi wako tu unaweza ukaacha mm nilikuwa mlevi haswa wa kila aina ya pombe kwa miaka mingi zaidi ya 20, ila nilikuwa nachukia sana tabia hy ndg,marafiki na jamaa walinishauri niache pombe haikuwezekana lakini cku moja nilikunywa kwa mara ya mwisho tangu hapo nikajiapiza leo hii ndio mwisho sitakunywa tena sasa na miaka 5 nimeshasahau utafikiri sikuwahi kunywa pombe maishani.
 
Wazee wenzangu (mabibi na mabwana),
Natumaini mko wazima kabisa.

Mimi ni mwanaume, na nafikisha miaka 30 this year.

Unajua kwenye maisha kuna mambo mengi tunafanya kwa kukusudia yawe mazuri au mabaya, ila mara nyingi tunajutia yale mabaya.

Najuta sana kuwa addicted na Bia, na ninaona kabisa ni adui yangu ila haipiti siku bila kuuweka, this hurts me sana.

Kuna aliyeweza kuacha bia kabisa na aliwezaje?. Natamani niache, chaah! this too much.

NB: Ushauri wa kukaa mbali na vishawishi au mbali na washkaji nishajaribu na haujafaa, maana kiu ya bia hatari sana. mimi niliacha kunywa bia kabisa! mkojo wa punda ulinisaidia xana ni dawa nzuriii ya kuacha pombe.
 
Acha kuwa selfish Mkuu,unataka kuacha pombe ili iweje?fikiria watu wanaokutegemea wewe unywe ili wao waishi? Fikiria wafanyakazi wa breweries, wamiliki wa bar,wahudumu,n.k wote hao na familia zao,unataka waishije?

Huwa nikifikiria yote hayo,nashindwa kabisa kuacha pombe,naishia kuagiza na kuagiza!
 
Kwanza itabidi baadhi ya rafiki zako ukubali kuwapoteza hasa unaokunywa nao pombe,badili life style yako hapa ukubali kuitwa majina yote ya kejeli watesa umefulia,umerogwa,umeezeka lakini kamwe usibadili nia yako njema ya kuacha pombe
 
Wazee wenzangu (mabibi na mabwana),
Natumaini mko wazima kabisa.

Mimi ni mwanaume, na nafikisha miaka 30 this year.

Unajua kwenye maisha kuna mambo mengi tunafanya kwa kukusudia yawe mazuri au mabaya, ila mara nyingi tunajutia yale mabaya.

Najuta sana kuwa addicted na Bia, na ninaona kabisa ni adui yangu ila haipiti siku bila kuuweka, this hurts me sana.

Kuna aliyeweza kuacha bia kabisa na aliwezaje?. Natamani niache, chaah! this too much.

NB: Ushauri wa kukaa mbali na vishawishi au mbali na washkaji nishajaribu na haujafaa, maana kiu ya bia hatari sana. Hata ukikaa mwenyewe utaitafuta.

Zipo stage za ulevi ambapo unaweza kuacha mwenyewe bila msaada, Ila pia zipo stage hata kama una nia mwili unakuwa dhaifu unahitaji msaada.
Kutegemea unapoishi fika hospital ukutane na wataalum watakushauri.
Kama uko Dar fika Muhimbili, Kama Dodoma fika Milembe. Usiwaze kuhusu unyanyapaa.
Tafuta kuhusu kujua Alcoholic Anonymous ( AA) ambapo watu wenye na waliokuwa na matatizo ya pombe wanabadilishana uzoefu na kupeana support na mawazo. Unaweza kujifunza mengi na kuwasaidia wengine.
Hapa Tanzania unaweza kuwapata kupitia email address: aatanzania@gmail.com.
Watafute watakupa taarifa zaidi.
Kupitia simu yako; google - CAGE alcoholism screening, utapata ufahamu kuhusu stage uliyopo na wakati mwingine nini ufanye kuepukana nayo.
Unaweza pia kugoogle " alcohol medical related disorders" itakupa reinforcement ya nia yako ya kuacha ikiwa utajua kuwa yajayo katika pombe hayafurahishi.
Kimsingi pombe ni public heath problem na matatizo yatakanayo na pombe yanaongezeka, kuanzia kwenye ajali, kufukuzwa kazi, kutelekeza watoto/ familia mpaka matatizo ya kiafya.
 
Wazee wenzangu (mabibi na mabwana),
Natumaini mko wazima kabisa.

Mimi ni mwanaume, na nafikisha miaka 30 this year.

Unajua kwenye maisha kuna mambo mengi tunafanya kwa kukusudia yawe mazuri au mabaya, ila mara nyingi tunajutia yale mabaya.

Najuta sana kuwa addicted na Bia, na ninaona kabisa ni adui yangu ila haipiti siku bila kuuweka, this hurts me sana.

Kuna aliyeweza kuacha bia kabisa na aliwezaje?. Natamani niache, chaah! this too much.

MRC Tanzania

Je! Una tatizo la utumiaji wa pombe au mihadarati

Je! mtoto au mwenza wako ana tatizo la ulevi na utumiaji wa mihadarati

Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe na dawa nyingine za kulevya unaweza kujaza form ya maombi kupitia link hapa chini

*KIGAMBONI SOBER HOUSE* Tuko kwa ajili ya kukusaidia wewe, Mwenza wako, Mtoto au ndugu yako

Piga simu *+255 742 550 551*

au *+255 655 056 382*
*Bofya hapa*👇🏽

KIGAMBONI SOBER HOUSE
NB: Ushauri wa kukaa mbali na vishawishi au mbali na washkaji nishajaribu na haujafaa, maana kiu ya bia hatari sana. Hata ukikaa mwenyewe utaitafuta.
 
Back
Top Bottom