kweli mkuu banana za 2000-2004 zilikuwa kali sana ukipigaa 3 aisee we kiboko unafungua banana dakika kama kumi hivi maana ukikosea unakuta nusu chupaRaha Banana wanaiita Nax. Ile ya Ulomi ya miaka ya 2000 hivi mpaka 2004 chini ya chupa lazima ukute uji na majani ya mgomba
Brother, mtu anahitaji concrete solution..mimi mwenyewe nimeshafanya hivo.Mwaka wa 15 huu nimeacha..Maamuzi tu..Na usivikimbie vishawishi
Mimi nimeacha sababu sijawahi kunywa kabisa.
Naona ukahamia kwenye ganja mkuu.Nina miaka mitano inaenda sita, Nimeacha tungi Mungu mkubwa sana duh ilikua ni kwerekweche
Mimi hapa. Nilipokuwa chuo nilikuwa cha pombez sana... yaan mim kuwa bwax ni kawaida. Kabla ya kumaliza chuo kuna tukio lilinipata.. lilinivuruga akili, kisaikologia nikapoteza hamu ya pombe kabisa kabisa. Yaan nikaona kama vile haina ladha tena.Wazee wenzangu (mabibi na mabwana),
Natumain mko wazima kabisa..
Mim Mwanaume, na Nafikisha miaka 30 this year,.
Unajua kwenye maisha kuna mambo meng tunafanya kwa kukusudia yawe mazuri au mabaya, ila mara nyingi tunajutia yale mabaya...
Najuta sana kuwa addicted na Bia, na ninaona kabisa ni adui yangu ila haipit siku bila kuuweka, this hurts Me sana...
Kuna aliyeweza kuacha bia kabisa na aliwezaje?. Nataman niachee, chaah! this too Much
NB: ushaur wa kukaa mbali na vishawishi au mbali na washkaj nishajarib na haujafaa, maana kiu ya bia hatar sana,. Hata ukikaa.mwenyewe utaitafuta.
Dawa ya kuacha pombe ni maziwa freshi ya ng'ombe,
Dozi: kunywa vikombe 3 asubuh, na jioni vikombe 2 kabla ya kula, na kikombe kimoja baada ya kula (dinner) kila siku, after 7 days, hata ukilala TBL hunywi kamwe!
Ahaaa... Yataka moyo.. Ukivikimbia vishawishi itakua hujaweza kujipima juu ya maamuzi yako..Brother, mtu anahitaji concrete solution..mimi mwenyewe nimeshafanya hivo.
Kukaa mbali na wana,kujikaza kisabuni..Ila dah
Najikuta nakaa mwenyewe mara kabaam..nishasukutua na castle lite 2 baridi..
Nilipumzika miaka miwili ila nilivyowasha gari tena ni balaa,hapa naandika hii post nna hangover hatari hadi job nmeshindwa kwenda! NAMI NATAMANI KILA SIKU NIACHE ILA NAJIKUTA NSHAKUNYWA.