Hivi mtu anazinduaje Mbuga?

....sijawai kusikia popote dun
...walianza kuzindua hostel wakaenda matawi ya vichochoroni ya bank sasa wameibukia kwenye mbuga za wanyama!...kwa mwendo huo iko Siku watazindua jua kuwaka asubuhi...ukifikilia sana kwa matendo ya watawala wa kiafrika unaweza kukubaliana kweli mtu mweusi alitokana na nyani
 
Haki ya mnyama ni kuishi anapotaka, yaani maeneo yao ya asili - kuwapeleka sehemu ambayo si asili yao ni ukiukwaji mkubwa wa haki za wanyama.
Wangekuwa binadamu tungesema wamekuwa wakimbizi wa ndani, bila sababu za msingi.
 
[emoji5][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mbuga itabadilishwa jina na kuwa Magufuli National Park


Hapana haitawekezana , nadhani ingekuwa busara zaidi watumie neno Burigi badala ya Burigi-Chato kama Ilivyo Serengeti au Ruaha Hifadhi hizi zimejumuisha Wilaya kadhaa kuweka Wilaya moja inaonekana ni Upendeleo!
 
Ebu tusaidie hao marais waliozindua mbuga kwa majina na mbuga walizozindua...ujinga ututoke
 
Call them whatever. Ila kaa ukijua Utalii ni Biashara na Biashara ni matangazo. Anachofanya JPM ni matangazi. Mbuga itajulikana kila kona ya Dunia sasa.

Ukitumai ghalama leo then baadae zinalipwa kwa wageni wanao kuja sio mbaya.
 
Kwa hiyo alivyo zindua gharama za upigaji pesa hapo ndio hakuna !? Mbona unajikanyaga ...... ?

Yaani kichekesho ni kwamba unaweza vipi kuzindua kitu ambacho sio man maid? ? Think twice aise ..otherwise mtu wa kwanza ambaye anapaswa kuwa brain transform ni wewe na Wana Lumumba wengine
 
Wachache wenye uelewa mzuri kama wako.
 
Hahaha haaa na huku waje wazindue Milima ya uluguru
 
Tunapokuwa tunazindua ni kweli kwamba dunia nzima inaona kwa kutumia tbc hii hii!!!! Au BBC/ALJAZEERA/CNN na wengine wa duniani wamealikwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…