JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,202
- 11,351
MWAKA 1951. Soma kuijua Zaidi.Serengeti ilizinduliwa lini?
Ova
MWAKA 1951. Soma kuijua Zaidi.Serengeti ilizinduliwa lini?
Ova
Jina lilishapitishwa BurigiMbuga itabadilishwa jina na kuwa Magufuli National Park
Kuwa mpole kijana wangu
Waachie wenye kazi zao mjomba. We fanya yako. Ukiona unaumizwa na jambo ambalo halina madhara yoyote kwako jua una maradhi yanakutafuna taratibu. Wahi hospital
Hua napata mashaka xana kuona maskini km huyu naye bado kafumba macho nakushangiliaHahahaha...
Mtabakia mnalalamika tuu..kama madebe matupu..
Mbuga inazinduliwa and hakunakitu mtafanya..
Shida ni matumizi mbaya ya mali ya umma.
Kwani hukuona Wanyama wakipelekwa huko? Twiga, Mbuni n.kMbona mimi naona mleta mada kauliza swali tu na sijaona sehemu kasema anaumizwa, ila kwa kweli ni jambo la kustaajabisha mbuga kuzinduliwa bila wanyama kualikwa
Especially kwa attention seekers, ni kweli!! Au all politician ni attention seekers??
na jiwe la msingi wame weka au
Sawa sisi watoto hatujui hebu tuambie Mbuga ya Serengeti ilizinduliwa lini na nani aliizindua.
Mwakani na Mimi nazindua bahari yangu, itaitwa sayoonic ocean
Karibuni sana
Itakuwa Walialikwa Na Wanyama Kufanya Zoezi Hilo (Maana Yake Hata Wanyama Wanamkubali)
Msiba atakuanika mkuu, hataki malaika adhihakiwe ama asemwe.Ila jamaa ni mpuuzi sana. .nani kiongozi wa hovyo ambaye sijawahi Pata kuona
Imeandikwa kiswahili na hujaelewa, umenisoma juu nilichoandika? Nimeandika hata saadani aliianzisha Kikwete, aliizindua? Use at least 20% of your common sense!! Utaelewa!![]()
Ijue National Park ya kwanza kabisa kuanzishwa duniani
Yellowstone National Park ndo hifadhi ya kwanza kabisa kuanzishwa duniani. Hifadhi hii ilianzishwa mwaka 1872 March 1, ina ukubwa wa kilometers za mraba 8,983.18sqkm na ipo nchini Marekani. Na ilianzishwa na rais wa marekani wa kipindi hicho bwana Ulysses s. Grant na inakadiriwa kwamba...www.jamiiforums.com
Magufuli kuzindua ile mbuga ni njia moja wapo ya kuipromote ile mbuga, nenda kaangalie tangia walivyo tangaza kuizindua ni watalii wangapi wamesha enda kutembelea ile mbuga?
Halafu kama siyo kuitangaza kuwa Rais anaenda kuizindua wala nisingejua kama kuna mbuga inayo itwa Burigi... Ilitumika mbinu kidogo tu kuwavutia watalii....
Hii njia aliyo itumia rais natamani angepanda Mlima Kilimanjaro na vivutio vingine vya kitalii ili watalii wamiminike nchi