Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,613
Nyerere - Mwinyi- Mkapa - Kikwete is my reference, au labda mwenzetu ulihudhulia uzinduzi wa mbuga, to my notice Kikwete alihusika kuanzisha Saadani nk likewise Mkapa bila kumuongelea Mwalimu sijawahi kuwaona wanazindua.Mmmmmh labda kwako, tembeeni mjionee dunia inavyoenda
Au mwenzetu uko makini zaidi uliwaona wakizindua, I think they weren't attention seekers!!