Unique au ulimbukeni, hata kichaa huwa anadhani anafanya unique kumbe watu wanamshangaa.Watu wanazindua hadi sanamu sembuse na mbuga. By the way he is doing something unique sio lazima ukopi.
Unique au ulimbukeni, hata kichaa huwa anadhani anafanya unique kumbe watu wanamshangaa.Watu wanazindua hadi sanamu sembuse na mbuga. By the way he is doing something unique sio lazima ukopi.
Weweeeeeeeee mle maporini kuanzia Kimisi uje Burigi uje Biharamulo kuna wanyama kwa maelfu sasa unasemaje sio asili yao? Kuna simba mle wameshakula watu na mifugo ya watu balaaaaaaaa bluuuuuuuu mpaka waliuwawa na wanakijiji, hawa wanyarwanda ndio waliharibu kuchungia mifugo mleHaki ya mnyama ni kuishi anapotaka, yaani maeneo yao ya asili - kuwapeleka sehemu ambayo si asili yao ni ukiukwaji mkubwa wa haki za wanyama.
Ungekuwa na akili ya kujiongeza kidogo usingeuliza swali la kipumbafu namna hiyo.... Sijui wabongo ni lini tutabadilikaWatalii wanatafutwa kwa kupitia TBC, Wewe ndio mjinga zaidi ya wooteee! Au watalii wa ndani? Wewe kichekesho kweli kweli! Ndio maana hatuendelei kama watu design yako wakiwa viongozi na charisma 0%
Senegal unadhani kuna watu wanao shinda kwenye mitandao? Watu wanapiga kazi mzee ooh... Endelea kutamani vya wanaume wenzakoAnajipeleka puta mwenyewe angalia kina Malicky Sarr wa Senegal wala hawana mbwembwe na nchi inasonga mbele
Bado nakuona zumbukuku, na hapo umetumia akiliyako 100% Tanzania tuna Mizigo! Mbona huelewi????Ungekuwa na akili ya kujiongeza kidogo usingeuliza swali la kipumbafu namna hiyo.... Sijui wabongo ni lini tutabadilika
Magufuli ataenda kuzindua uwanja wa chato teh teh ndiyo akili iwakae sana....Bado nakuona zumbukuku, na hapo umetumia akiliyako 100% Tanzania tuna Mizigo! Mbona huelewi????
Awamu ya JPM kuna wengi wanaoteseka. Yeye kasikia kuzindua mbuga akajua ni kama kuzindua uwanja wa mpira.Waachie wenye kazi zao mjomba. We fanya yako. Ukiona unaumizwa na jambo ambalo halina madhara yoyote kwako jua una maradhi yanakutafuna taratibu. Wahi hospital
Kwani kinaharibika nini akizindua.Unique au ulimbukeni, hata kichaa huwa anadhani anafanya unique kumbe watu wanamshangaa.
Wewe mwehu kweli, sasa akizindua akili yangu ndio ikae sawa au yako?Magufuli ataenda kuzindua uwanja wa chato teh teh ndiyo akili iwakae sana....
Ni maoni yako,japo ni ya kishenzi lakini yaheshimiweNatatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...
Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?
And by the way, wanyama wamealikwa?
Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...
Shida ni matumizi mbaya ya mali ya umma.Kwani kinaharibika nini akizindua.
Kule kutangazwa uazinduzi tu hata wewe mwenyewe umeshaelewa kuna mbuga kule. Shida inabaki je wewe ni mtalii? Unapenda kutembelea mbuga kujionea Wanyama? Sisi tunaopenda kwenda mbugani mapumuziko tunasema wamefanay vyema tumefahamu na tunaahidi tutaenda.
Baki na siasa zako.
Punguza mapovu.Ni maoni yako,japo ni ya kishenzi lakini yaheshimiwe
Ukikamilisha ujenzi wa choo chako usisite kunialika nije nizindue kinyesi😂😂😂😂😂..niliwaza hvyo jana..nikaishia kikaa kimya tu
naiwe hivyo ,tahadhari zisichukuliweSubirini Simba afyatuke huko aliko aondoke na ama Kalio au Kolomero la Mkemia ndipo mtajua Wanyama huwa hawatanii Mbugani.