Hivi mtu anazinduaje Mbuga?

Hivi mtu anazinduaje Mbuga?

Kwakweli hii Awamu imevunja record , imetufanyia mengi ikiwemo kuzindua mbuga ya wanyama

Unajua mbuga Ni kiwanda Cha wanyama , tumzindua na tutazindua
 
Natatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...

Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?

And by the way, wanyama wamealikwa?

Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...na nani ni zero brain, mxieeew!
Ulivomalozia hua wanafanya wanawake, mimi mwanaume nishashindwa eti.

Niende kwenye mada
Upuuzi utaendelea kufanyika maana jiwe anataka chato iwe kama NYC
 
Natatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...

Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?

And by the way, wanyama wamealikwa?

Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...na nani ni zero brain, mxieeew!
Hio inaitwa artificial national park
 
Taifa la wajinga na matakataka ndio matokeo yake hayo
 
Natatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...

Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?

And by the way, wanyama wamealikwa?

Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...na nani ni zero brain, mxieeew!
Yaani ukishakua Chadema tu lazima uwe zuzu kwanini?
 
Akili za mzinduaji zinatakiwa zizinduliwe pia
 
Wakati huo huo umesoma na umekubali kuwa kuna wazungu wamegundua mlima kilimanjaro na milima mengine... lakini mswahili mwenzako kuzindua mbuga unaandamana JF...
 
Mh! Nimesoma comments humu nimeishia kucheka tu utafikiri ni mazuri. Wakuu mnaichukulia hii issue kimzahamzaha, tukumbushane tu, jana watu saba walifariki kwenye ajali wakipambana kwenda kufanya coverage ya tukio hili muhimu kabisa la kihistoria. Ipo siku people will look back and ask themselves,how did all these things happened.
Media zinaombeleza mkuu
Maisha lazima yaendele

Ova
 
Kuna watu wako nae ccm huko iko cku akitoka madarakan wakishuhudia haya wanayofanya na huyu watajidharau sanaa,
 
Back
Top Bottom