Hivi mtu anazinduaje Mbuga?

Hivi mtu anazinduaje Mbuga?

Kwani hukuona Wanyama wakipelekwa huko? Twiga, Mbuni n.k

Soma hapa pia.

Ok sawa mkuu
 
Waachie wenye kazi zao mjomba. We fanya yako. Ukiona unaumizwa na jambo ambalo halina madhara yoyote kwako jua una maradhi yanakutafuna taratibu. Wahi hospital
Aachie wenye kazi yao yeye abaki ni kulipa kodi tu,asiulize hata matumizi yake,sindiyo mkuu?
 
Natatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...

Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?

And by the way, wanyama wamealikwa?

Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...
Kuna siku moja mwehu katika soko la Igalula, alikuwa anawashangaa wenye akili timamu na akawaita kuwa hawana akili; nilitafakari sana mwisho nikakubali kuwa yupo sahihi kwa upande wake.
 
Imeandikwa kiswahili na hujaelewa, umenisoma juu nilichoandika? Nimeandika hata saadani aliianzisha Kikwete, aliizindua? Use at least 20% of your common sense!! Utaelewa!

Unaandika pumba kwa sababu ya fake ID. Anyways siwezi kuchoka kukusimulia.

Lugha inatofautiana kipindi hadi kipindi. Sadani imekuwepo kabla hata ya Kikwete na hao Wanyama walikuwemo. Kuanzisha linaweza tumika pia kama kuzindua ( Inategemea na mwandishi).

Hii ya Burigi Chatto - JPM na viongozi wenzake wamepeleke Wanyama na kuzindua/Kuanzisha rasmi. Nahuko ndiko kutangaza utalii.
 
Hapa kuwa na sababu ya kuanzisha kampeni na kudai kuwa anaizundua. .anacho zindua yeye ni nini Sasa,? Wakati mbuga ni rasilimali ya asili ambayo ipo katika ardhi ya taifa hili miaka na miaka .....
Alicho paswa kufanya ni kuanzisha kampeni ya yeye kwenda kutalii tu '' hilo lilikuwa Lina tosha kwa yeye kuweza kuitangaza hiyo mbuga kutokana na status aliyo nayo. ...tena mimi nashauri afanye hivyo katika mbuga zote nchini au katika Vivutio vyote ndani ya nchi hilo Lita sababisha ongezeko kubwa la watalii wandani na wa nje ya nchi Kuja kutalii katika mbuga zetu na hifadhi mbali mbali za taifa. ......
Tuache kuwa tuna leta siasa katika vitu vya msingi. .yaani kabisa bila hata haya kiongozi anasema kuwa amezindua mbuga like seriously! !?
Watanzania na waafrica in totally tunahitaji kufanyiwa, brain transformation.... Kuzindua mbona kama siyo big deal? Mbona sioni siasa hapo tofauti na ulicho kisema?

Rais aende akatalii aende na waandishi wa habari kabisa like serious hahaha big jok mkuu, kuanzisha kampeni ni gharama na upigaji wa hela tu hakuna jipya hapo..... Bora alivyo zindua
 
Mkuu naomba usishangae kabisa.. Watu wa jamii za kule wanaweza kuzindua hata baiskeli au mashine y kusaga..
Tena gharama za tukio zikawa kubwa kweli kweli kuliko hata kipato cha mzinduaji..!!
Naomba tu mjiandae kisaikolojia; kule Chato shughuli za uzinduzi zitakuwa baab-kubwa na zaidi ya yote jukwaa la kuwaponda wote wenye wivu, "mabeberu na mawakala wao"!

My take: kwa kuwa hii ni awamu ya washamba... hakuna maajabu tutaacha kushuhudia.. And very soon watazindua Ziwa Victoria!
 
Nimecheka hadi tumbo limeuma
 
Good thinking
 
Back
Top Bottom