Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
yani wale mbuni na twiga waliovalishwa mizula wanafanyiwa sherehe leo??
Kwani huko kuna nani hadi waje..??
Call them whatever. Ila kaa ukijua Utalii ni Biashara na Biashara ni matangazo. Anachofanya JPM ni matangazi. Mbuga itajulikana kila kona ya Dunia sasa.
Ukitumai ghalama leo then baadae zinalipwa kwa wageni wanao kuja sio mbaya.
Mshamba wewe Senegal hata bundle bei nafuu na watu wanatumia sana mitandao na sarr ameruhusu maandamano na hana roho mbayaSenegal unadhani kuna watu wanao shinda kwenye mitandao? Watu wanapiga kazi mzee ooh... Endelea kutamani vya wanaume wenzako
Wasukuma wapo wengi tu ...siunajua wale wanapenda Ku vamia vamia maeneo ya watu na kulisha mifugo yao
Na kushangaa Ni sehemu ya utalii. Pamoja sana kamandaHakuna cha kuona zaidi ya kushangaa tu
Usinilishe maneno - Hakuna sehemu nimesema matangazo pekee.Yaani wewe kama unahisi biashara ya utalii ni matangazo pekee basi wewe nawe huna utofauti na wao..
Matangazo "is just a very minor segment of Utalii" Na kwa taarifa yako "destination marketing" is a very complex process!! It is more than just a launch of a national park on state run and local Tv stations! Huu ni ushamba moja wapo!
Hifadhi zinajisimamia na kutambulika duniani kote kwa "unique features and attributes".. Hapa nchini tanzania ni hifadhi chache sana zenye hizo uniqueness. Wageni wataona mlivyotangaza.. Watakuja Chato-Burigi lakini watakuta hakuna kitu chchote zaidi ya "exotic species of wildlife (wanyama walioamishwa)
Kwa taarifa yako... hifadhi nyingi zilizopo nchini zinajiendesha kwa hasara na kusaidiwa na hifadhi ama ya serengeti ama kilimanjaro.. (TANAPA wanajua ukweli wa hili).
Kwa mtalii anayejua anachokitafuta hawezi kwenda Chato-Burigi akaacha Serengeti, Rubondo na Ruaha kwa mfano.. Labda kama antaka kwenda kuona "wasukuma na wasubi" wanavoishi! Hivi utaenda kuwaona wanyama waliohamishwa na kuwekwa kwenye "ZOO" wakati huo huo kuna ambao wanaishi natural life kwenye hifadhi zingine..!!
Anyway; ngoja wajishereheshe na kushangweka kwa leo.. Hiyo hifadhi inawez kuchukua zaidi ya a decade or a century kuja kufikia levels za kupambana/kushindana na destinations nyingine nchini na duniani.
Ushauri tu.. Wakitaka ChatoBurigi iwe very popular labda wawadake wale washamba wenzao wa kichina (ambao tumeambiwa wataanza kuletwa nchini muda si mrefu). Wakitoka uchina watue moja kwa moja Chato kabla ya kuendelea na shughuli zao..
Yaani nilivyovunjika mbavu namna hii halafu wewe unasema tunashindwa cha kuandika? JPM ni kikomo cha wendawazimu, hata kama tunanuna kwa maisha magumu, angalau tucheke kwa vituko vyake visivyoishaJpm anawaleleka puta sana hadi mnashindwa muandike nini
Tafadhali rejea kwenye andiko lako... unaonekana wewe unapenda sana kulishwa lishwa..!!Usinilishe maneno - Hakuna sehemu nimesema matangazo pekee.
Endelea kujielimisha unaonekana utafanikiwa ila kwa sasa ungekuwa unahoji tu na sio kuchangia kwenye mambo ya kitaalam.
Ila jamaa ni mpuuzi sana. .nani kiongozi wa hovyo ambaye sijawahi Pata kuona
Maandamano yatakuza uchumi? Kwani Magufuli ndiyo anaemiliki hizo kampuni za simu?Mshamba wewe Senegal hata bundle bei nafuu na watu wanatumia sana mitandao na sarr ameruhusu maandamano na hana roho mbaya
Kivipi?Unaweza kufafanua Zaidi?
Hayo anayo yafanya hauyaoni au ?
Vipi utimamu wa akili wa wajumbe wa vikao vya chama cha kijani waliompisha kamati kuu ,mikutano kuu ,halmashauri kuu wenyewe si ndio vichaa kabisa kabisa .Natatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...
Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?
And by the way, wanyama wamealikwa?
Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...na nani ni zero brain, mxieeew!
na hapo ndipo tutakapokubaliana billa shuka yoyote kwamba kila walipo watanzania wanne,mmoja wa ni kichwa,na probability ya huyo kichaa kuwa kiongozi wa wengine ni 0.25.Sasa swali litabaki ilikuwaje watu wote tukaambukizwa ukichaaMh! Nimesoma comments humu nimeishia kucheka tu utafikiri ni mazuri. Wakuu mnaichukulia hii issue kimzahamzaha, tukumbushane tu, jana watu saba walifariki kwenye ajali wakipambana kwenda kufanya coverage ya tukio hili muhimu kabisa la kihistoria. Ipo siku people will look back and ask themselves,how did all these things happened.