Hivi mtu anazinduaje Mbuga?

Hivi mtu anazinduaje Mbuga?

...tumekua watu wa comedy duniani tunaonekana vituko ivi kweli mbuga inazinduliwa bila kuwepo mkuu wa poli simba chui mamba na fisi ila wanahudhuria watu waliovaa suti sasa hapo ndo utajua mnyama aliezinduliwa kavaaje!
 
Hah hahahahahaha wanazindua mbuga..... Hivi haya mambo ya hovyohovyo mbona jk hakuwa akiyafanya?
 
Weweeeeeeeee mle maporini kuanzia Kimisi uje Burigi uje Biharamulo kuna wanyama kwa maelfu sasa unasemaje sio asili yao? Kuna simba mle wameshakula watu na mifugo ya watu balaaaaaaaa bluuuuuuuu mpaka waliuwawa na wanakijiji, hawa wanyarwanda ndio waliharibu kuchungia mifugo mle


Ila pundamilia wapo tele na twiga wa kumwaga kabisa mle wamo
Mtalii gani ataenda kung'atwa na Ndorobo si bora aende Serengeti
 
Wewe PUMBAVU Ni bora ungekaa kimya tusingejua ujinga wako. takataka kabisa.
 
Hapana haitawekezana , nadhani ingekuwa busara zaidi watumie neno Burigi badala ya Burigi-Chato kama Ilivyo Serengeti au Ruaha Hifadhi hizi zimejumuisha Wilaya kadhaa kuweka Wilaya moja inaonekana ni Upendeleo!
Kwani burigi ni wilaya?

Burigi inapatikana muleba biharamulo Kwa asilimia 90
 
Natatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...

Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?

And by the way, wanyama wamealikwa?

Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...na nani ni zero brain, mxieeew!
Nmecheka sanaaa
 
Na bado
Screenshot_20190709-123359.jpeg
 
Kwann kabla ya hapo hiyo mbuga ilikua inajulikana rasmi???
 
Back
Top Bottom