Ngoja waje makungwi watuambie, mimi najua akiivunja bikra tu anatakiwa ajikatae kukaa nyumbani kwaoKwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasabb mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu niakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-
1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?
2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?
Kwann nimeleta uzi huu?
Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mm Sexless, kungwi la kitaifa.
Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lkn hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashngazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.
Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
Hapana. Hajanituma nimtafutie mchumba. Mada hii ni ya mimi kungwi kutaka kujielimisha namna nzuri ya kutoa ushauri juu ya umri sahihi wa mtoto wa kike kuondoka nyumbani hata kama hajaolewa.Nipe namba yake PM nimuoe.Hakuna kuchunguzana tupo nyuma ya muda ni ndoa tu.
Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasabb mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-
1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?
2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?
Kwann nimeleta uzi huu?
Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mm Sexless, kungwi la kitaifa.
Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lkn hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashngazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.
Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
Nop! I'm not here to sell anyone!fUNGUA PM UNIPE CONNECTION SERIOUS
YOUR NOT SELLINGNop! I'm not here to sell anyone!
Daah!! Hatari sanaNipe namba yake PM nimuoe.Hakuna kuchunguzana tupo nyuma ya muda ni ndoa tu.
Then don't ask for such immoral things.YOUR NOT SELLING
Vijana wa kileo hatuko tayari kuoa majangili, majambazi na matapeli wa kike.........huko kanda ya ziwa kumeibuka mtindo mbovu sana mwanamke anakubali kuolewa kwa lengo moja la kwenda kuchuma mali za mume.....yaani anakubali ndoa baada ya mwaka mmoja tu anajigeuza anadai talaka na mwisho wa siku anakomaa wagawane mali alizozikuta pasu kwa pasu ......NYINYI WANAWAKE MKAOLEWE NA BABA ZENU AU KAKA ZENU ..Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasabb mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-
1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?
2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?
Kwann nimeleta uzi huu?
Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mm Sexless, kungwi la kitaifa.
Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lkn hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashngazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.
Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
ILA UMESEMA HAJABAHATIKA KUPATA MWENZA WA KUMUOA SASA IMMORAL THINGS INATOKA WAPI KWENYE OMBI LANGU MKUUThen don't ask for such immoral things.
Kanda ya ziwa kubwa mkuu. Mkoa gani specifically? Maana kwa mkoa wa Mara ndoa siyo ya watu 2.kike.........huko kanda ya ziwa kumeibuka mtindo mbovu sana mwanamke
Nipe namba yake PM nimuoe.Hakuna kuchunguzana tupo nyuma ya muda ni ndoa tu.
Marriage is the consent of two people. I hope u understand what is missing?ILA UMESEMA HAJABAHATIKA KUPATA MWENZA WA KUMUOA SASA IMMORAL THINGS INATOKA WAPI KWENYE OMBI LANGU MKUU
Nipe namba yake PM nimuoe.Hakuna kuchunguzana tupo nyuma ya muda ni ndoa tu.
KWA HIYO ANAUMIA KUSEMWA AU ANAUMIA KUENDELA KUKAA NYUMBANI KWAO BILA NDOA NA BILA KAZIMarriage is the consent two people. I hope u understand what is missing?
Kimsingi masimanho yao yamejikita kwenye umri. Wanasema umri wote huo (miaka 32 ) bado unapishana na babako bafuni? Wanamuambia bora akapange chumba chake mtaani aondoke nyumbaniTanzania ya Leo kuna jirani wa kwenda kutukana mtoto wa mtu kisa