Natamani kukuona live!Hakuna cha sokwe wala tumbili wote nyani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani kukuona live!Hakuna cha sokwe wala tumbili wote nyani...
Kimsingi hakuna kabila la Wahaya.Wahaya ni muunganiko wa makabila mengi km ulivyoyataja. Swala la asili ya kila kabila km ulivyoyataja hilo linahitaji taaluma na tafiti, siyo kwa wepesi unaodhania.
Kila kundi lilokuwa na mfalme/ Omukakama lilikuwa ni kabila kamili. Bukoba kulikuwa na abakama wengi na hivyo kuwa na makabila mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yodoki, sasa wewe unasema "Enganda" ambazo siyo kabila! au? sina uhakika
Kama bado upo huko waulizie wahaya kuna kabila linaitwa wakoba wapo pembezoni mwa mji wa bukoba maruku katoma na viunga vyake ingawa wamepotea lakini naamimi bado watakuwemo hao ndio wahaya halisi
Sent from my C2305 using JamiiForums mobile app
Nami hilo nililiona! Ignore the guy!Mkuu kama mleta mada angekuwa na nia nzuri yote hayo mbona angefafanuliwa tu toka mwanzo - huyu ana agenda zake kuhusu wenyeji/Wazaliwa wa Kagera, just ignore him hana nia ya kujifunza chochote analeta maigizo tu hapa.
Hakuna mbantu ambaye si muhamiaji Tanzania.Bakoba mbona bado Wapo mpaka leo, jina la Bukoba linatokana na CRAN ya Abakoba lakini hilo alimaanishi ni kabila wanabaki ni Wahaya - tukija lafudhi ya kuzungumza Kihaya utakuta Wahendangabo(Bugabo), Wayoza(Kiamtwara) na Akabara(Maruku) lafudhi yao ni moja na maneno yote yanafanana i.e uwezi kuwatofautisha.
Samahani mkuu, unaweza kunielimisha kidogo juu ya kabila la wasubi? Siijui na siielewi kabisa asili yangu...Bakoba mbona bado Wapo mpaka leo, jina la Bukoba linatokana na CRAN ya Abakoba lakini hilo alimaanishi ni kabila wanabaki ni Wahaya - tukija lafudhi ya kuzungumza Kihaya utakuta Wahendangabo(Bugabo), Wayoza(Kiamtwara) na Akabara(Maruku) lafudhi yao ni moja na maneno yote yanafanana i.e uwezi kuwatofautisha.
Tanzania wenyewe ni Wasandawe na Wahadzabe, hao ndio utaenda maelfu na maelfu ya miaka utakuta walikuwepo.
Sawa.
Hata hao Wasandawe nao huenda walitokea kwingine.
So no one knows for sure.
Sawa.
Ultimately at some point hakukuwa na watu kabisa. So where do you draw the line?
Kuna tofauti ukiambiwa Wasandawe wamekuwapo hapa for the last 100,000 years na ukiambiwa hawa Wabantu wengine wamekuja hapa baada ya Mfecane (mfarakano) Wars 1880s.
Kwa mtaji huo hao Wabantu waliokuja na Mfecane Wars wengine waliwakuta kina Karl Peters na David Livingstone ha Henry Stanley tayari wako Africa Mashariki.
By the way,
wenye asili ya tz ni wahadzabe wengine ni wakimbiziWatu wa kyamutwala na bugabo ndo wahaya asilia.
Ila tanzania mbona kila kabila inasemekana asili yake ni kutokea nje ya nchi ina maana Tanzania zamani haikuwa na watu?
Haya mambo ya nani katoka wapi au nani ni mhalisi zaidi kuliko mwenzake ukiyafikiria sana unaona ni upuuzi tu.
Kwa mfano, who is to say kwamba hao Wabantu waliokuja kutokana na Mfecane hawakuwa wanarudi kwao?
Maybe walikuwepo hapo zamani...say miaka 500,000 ilopita then wakaamua kwenda kutafuta maisha huko sauzi....kiliponuka huko sauzi wakaamua kurudi walikotoka.
Mimi sidhani kabisa kama kuna mtu au jamii ya watu fulani wanaoweza ku claim kuwa hapa au pale ndo kwao kabisa.
Hata leo hii mimi nikirudi Simba road si ajabu vitoto vilivyozaliwa mid to late 90s vitadhani labda ni mgeni ilhali nami nilizaliwa hapo hapo ila baadaye nikaja kuondoka kwenda kutafuta maisha kwingine.
niliwahi ona uzi ukisema watz asili ni wahadzabe, wengine wote walihamia
nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
Chuki,ubaguzi na visasiwenye asili ya tz ni wahadzabe wengine ni wakimbizi
nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
Racial/ tribal purity and homeland ownership are almost always concocted to fathom and propagate an ignorant or corrupt claim that ultimately is aimed at bolstering prestige or accumulate property.
The Jews did this so successfully they had to invent a God around it that is worshipped the world round.
Hao Wabantu most probably walirudi sehemu ambazo walishapitia, kwa sababu Wabantu wote wametoka nyanda za juu za Nigeria, wakapita huku kwenda South, kwa hiyo kama kilinuka wakarudi huku watakuwa walirudi sehemu walizopitia. Ila, hata walivyopita mara ya kwanza wakati wanaenda South waliwakuta Wasandawe.
![]()
Ujinga wa kusema huyu kabila hili au lile bila hata kumpima DNA na kumjua baba yake halisi ni nani tunautoa wapi?Ku trace origins za mtu ni kazi ngumu sana.
Kwa mfano, hao wabantu inaelekea walikuwa ni watu waliopenda kuzunguka zunguka.
Si ajabu hata huko pande za Nigeria nako walienda tu wakiwa wanatokea sehemu zingine.
So no one knows for sure where who comes from where.
Ndo maana hata hao Wasandawe na hao wengine sijui Wahadzabe nao si ajabu walitokea sehemu zingine vilevile.
Ni asili ya wanyama wengi, binadamu tukiwemo, kupenda kuzunguka zunguka na kutawanyika.
Kwa hiyo kujua origins za watu tena kwa nyakati ambazo hata hakukuwepo na mipaka ya kueleweka, elimu ya kutosha, na record keeping za uhakika, ni vigumu mno.
Mimi sitashangaa kama kwa mfano hao Wasandawe walitoka kwenye visiwa vya Cape Verde huko....
Ujinga wa kusema huyu kabila hili au lile bila hata kumpima DNA na kumjua baba yake halisi ni nani tunautoa wapi?