Hivi mhaya halisia anatokea wapi mkoa wa Kagera?

Waguma....

So Mkulu wetu ni wa wapi sasa?

Inamaana Wahaya si Kabila Bora Wanyambo wao hawataki kusikia mtu anawaita wao ni Wahaya..

Siku wakiparaganyika kabila la wahaya litapotea.
tutakuwa na makabila yafustayo
Wahamba
wanyaiyangiro.
wayoza
wanyambo
waziba
wagandakyaka
 
Ndomana mimi nikiona mtu anaongea kiswahili nasemaga ni mtanzania...hii nchi watu wamehamia tu ila kila mtu ana alikotokea,ukienda mbeya asilimia 80 ni watu wa malawi na zambia na zimbabwe...
Mara wajuruo wote wana asili ya kenya...

Kigoma anayejiita kwamba ni wa palepale ujiji ni vile tu alikua wa kwanza kuhamia pale ama kutoka drc au burundi ila kigoma kuna makabila mengi na kutoka nchi mbali mbali,ila wakaamua kujiita waha na manyema..

Arusha wamasai mpaka leo wao hawajui kama ni wakenya au watanzania mana wanaishi kotekote,na vile wanatembea na miguu tu
 
Wadau zangu kwa sasa nipo mkoa wa kagera nipo maeneo ya BUKOBA.

Katika huu mkoa siku zote najua wenyeji wa Mkuu mkoa ni WAHAYA

Lakini kinachonishangaza WAHAYA wenyewe kwa wenyewe wanabaguana maana nasikia kuna waziba, wanyaingiro, wanyambo, wahamba,waganda kyaka, wayoza

Nilipojaribu kuuzila nikaambiwa hawa...

Waziba wanatokea UGANDA

Wayoza wanatokea shinyanga kiasili ni wasukumaa

Wanyangiro hawa WAKO muleba ASILI yao nimeambiwa ni mchanganyiko wa mrundi na mnyarwanda pia kuna mhutu na mtusI Lakini pia naambiwa NI zao LA mjaluoo ndo maana rangi zao zinafanana

Wanyambo nasikia ni mchanganyiko wa muhutu na mtusi waliokimbia vita ya Rwanda mwaka 1959.

Mganda kyaka huyu nimeambiwa sio muhaya huyu anaitwa ni muhutu wa ugandaa.

Wahamba nasikia hawa ki ASILI NI wajaluo waliolowea muleba muda mrefu sana waka adapt UHAYA.

Jamani hadi sasa hebu tuambieni muhaya asilia anatokea wapi
Ukifuatilia kila kabira hakuna kabira asilia kila moja limetokea sehemu flani.
 
...Kanyigo ndo penyewe
 
Wahaya wako muleba missenyi na bukoba na karagwe sema tofauti inakuja kwenye rafudhi wote wanaongea kihaya ila rafudhi tofauti kama ulivyotaja apo juu kama unavyoona Tanzania mikoa yote inazungumza kiswahili ila kwa rafudhi tofauti
 
Karagwe kuna wanyambo.

Rafudhi= Lafudhi
 
Mpaka sasa swali halijajibiwa au labda aulize JE NI KABILA GANI AMBALO NDIO MZAWA HALISI WA KAGERA???

Same thing inaenda na Kigoma mpaka sasa mimi kama mimi sijajua wenye asili halisi ya Kigoma ni akina nani.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Wenyeji wa Kigoma ni Waha. Neno waha maana yake watu wa hapa hapa.
 
Mpaka sasa swali halijajibiwa au labda aulize JE NI KABILA GANI AMBALO NDIO MZAWA HALISI WA KAGERA???

Same thing inaenda na Kigoma mpaka sasa mimi kama mimi sijajua wenye asili halisi ya Kigoma ni akina nani.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Watu wa kyamutwala na bugabo ndo wahaya asilia.

Ila tanzania mbona kila kabila inasemekana asili yake ni kutokea nje ya nchi ina maana Tanzania zamani haikuwa na watu?
 
Wadau zangu kwa sasa nipo mkoa wa kagera nipo maeneo ya BUKOBA.

Katika huu mkoa siku zote najua wenyeji wa Mkuu mkoa ni WAHAYA

Lakini kinachonishangaza WAHAYA wenyewe kwa wenyewe wanabaguana maana nasikia kuna waziba, wanyaingiro, wanyambo, wahamba,waganda kyaka, wayoza

Nilipojaribu kuuzila nikaambiwa hawa...

Waziba wanatokea UGANDA

Wayoza wanatokea shinyanga kiasili ni wasukumaa

Wanyangiro hawa WAKO muleba ASILI yao nimeambiwa ni mchanganyiko wa mrundi na mnyarwanda pia kuna mhutu na mtusI Lakini pia naambiwa NI zao LA mjaluoo ndo maana rangi zao zinafanana

Wanyambo nasikia ni mchanganyiko wa muhutu na mtusi waliokimbia vita ya Rwanda mwaka 1959.

Mganda kyaka huyu nimeambiwa sio muhaya huyu anaitwa ni muhutu wa ugandaa.

Wahamba nasikia hawa ki ASILI NI wajaluo waliolowea muleba muda mrefu sana waka adapt UHAYA.

Jamani hadi sasa hebu tuambieni muhaya asilia anatokea wapi
asili ya mtu yapimwa kwa lugha anayoongea mnyambo anaongea kinyambo(orunyambo) lugha yenye nasaba na kihaya na kinyankole ila wanyambo wameoa na kuolewa na watusi hivyo kufanya asili yao na matamshi ya vitu kuongezeka kidogo kuweza ku adjust wagen hao,kabila la wanyambo limekuwako na watawala wake kabla hata ya mkoloni kuja kama lilivyo la wahaya,,ndivyo nnavofahamu
 
muleba bana kuna sehemu inaitwa rubya dah so natural place like heaven
Hakikaaa rubya ni pazuri sana ingawa shughuli za kibinadamu kama uvunaji wa mbao unazidi kupateketeza hadi baadhi ya mito imeshakuwa ya msimu lakini kijani na miinuko yake ni lazma itakufurahisha...

BACK TO DE TOPIC

hata wahaya wanajua ya kuwa waziba ndo wenye asili yao na hata kihaya chenyewe ama asilia kinapatikana kiziba..

makundi yote ya wahaya ni wahamiaji kutoka nchi jirani lakini kikundi asilia inasemekana kilitokea katika himaya ya bunyoro Uganda na hivyo waziba ndio watoto asili wa uhaya wenyewe...

Kama nimekosea ningeomba nirekebishwe ingawa Kagera ni asili yangu na niliyoyaandika ni kutoka katika masimulizi na maandishi baadhi ya kihistoria
 
  • Thanks
Reactions: 365
Wadau zangu kwa sasa nipo mkoa wa kagera nipo maeneo ya BUKOBA.

Katika huu mkoa siku zote najua wenyeji wa Mkuu mkoa ni WAHAYA

Lakini kinachonishangaza WAHAYA wenyewe kwa wenyewe wanabaguana maana nasikia kuna waziba, wanyaingiro, wanyambo, wahamba,waganda kyaka, wayoza

Nilipojaribu kuuzila nikaambiwa hawa...

Waziba wanatokea UGANDA

Wayoza wanatokea shinyanga kiasili ni wasukumaa

Wanyangiro hawa WAKO muleba ASILI yao nimeambiwa ni mchanganyiko wa mrundi na mnyarwanda pia kuna mhutu na mtusI Lakini pia naambiwa NI zao LA mjaluoo ndo maana rangi zao zinafanana

Wanyambo nasikia ni mchanganyiko wa muhutu na mtusi waliokimbia vita ya Rwanda mwaka 1959.

Mganda kyaka huyu nimeambiwa sio muhaya huyu anaitwa ni muhutu wa ugandaa.

Wahamba nasikia hawa ki ASILI NI wajaluo waliolowea muleba muda mrefu sana waka adapt UHAYA.

Jamani hadi sasa hebu tuambieni muhaya asilia anatokea wapi
asili ya watu wa maeneo ya rwanda,uganda na kagera kwa makabila ya wahaya,wanyankole,watusi hadi wahutu nikiongelea wa burundi na rwanda wana koo zao wanazijua wao kuna abazilankende(wako tz,rwanda),abahinda(wako tz,ug nadhan),abasindi(tz,rwanda)abashambo(tz,ug,rwanda)na abasingo kuna abega na abanyiginya hzo ni za rwanda tuu,,hzo koo kubwa ndio subclans zao zinaonyesha asili moja kwa nnavofahamu
 
Back
Top Bottom