Kama sio mambo ya ndani basi u-PMView attachment 643152Mange kazi yake yeye ni kupokea habari kama zilivyo na kuzirusha.. Hahangaiki... Ukiona hivyo ujue system imejaa matobo... Hakuna kitu kinachoitwa tight mark... Hakivuji chochote
Ujinga ni nn tafuta maana yke ndio utajua yupi mjinga tatizo lenu wenye vyama au niseme mliokuwa kwenye vyama siasa hataki kbs kutusikiliza sie ambao atuna chama chchote kiu kweli sie ndio wengi ktk Tanzania yetu lazima tuseme ukweli mnapotupeleka sipo na vyama vyenu nchi inaongozwa kwa kufata katiba na sheria sio mawazo tu ya mtu...hahahaha duuu hapa ndio huwa naamini chadema imejaa wajinga
Acheni kumfanisha Snowden na mambo ya kijinga.
Mange ni mbeya na anatumiwa infor na watu kutok serikalin achana kabisa na Snowden, habari yake ni ndefu
Msichangie kwa kusoma kichwa cha habari tuu! Someni na maudhuiMange ni Tishio kwa Jpm na Snowden ni Tishio kwa USA.
Ila huwezi kuwalinganisha kwa uwezo wao binafsi Bali uwezo wao katika nchi zao na impacts zao.
Nimesoma contents mkuu. Nimekuelewa pakubwa sana mkuu Mshana sema nilikuwa nadokoa tu nduguMsichangie kwa kusoma kichwa cha habari tuu! Someni na maudhui
Nimesoma na majibu yanaendan na maudhuiMsichangie kwa kusoma kichwa cha habari tuu! Someni na maudhui
nyie shangilieni tuu humu (kama) hamna akili lakini mwisho wa siku matokeo yake yatatukumba woteJe na Nyarandu alinunuliwa kwa sh ngapi ! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu muchungu kwani matusi ya mange yanaisaidia nini nchi wewe kama ni jasiri fungus act ya matusi hatuna muda huo kwa sasa hapa ni kazi tu
Kufananisha KILIMANJARO na KICHUGUU
SNOWDEN is another, anafunua zile za ukweli, na pia ana uhakika nazo, wakati mwingine mara kadhaa tu analeta habari zisizo na chembe ya ukweli
"UROPOKAJI" sio kwamba wewe ndo umezitafuta na kuzitoa.......
SNOWDEN IS ANOTHER
Siwezi kumfananisha mange kimambi na whistle blower kama snowden
Siwezi kumfananisha mange kimambi na whistle blower kama snowden
Ushauri huu uwafikie wanaohangaika naye usiku na mchanaEdward Snowden - Wikipedia
1.Mfanyakazi wa CIA leo umfananishe na "mtukanaji" wa the so called BONGO SUPER STARS?
2. 50,000 to 200,000 high profile documents alizotoa SNOWDEN utafananisha na ngapi za Mange?
3. He has stated that his career high annual salary was $200,000
4. Mtu ambaye ukimtaja leo dunia nzima inamjua eti tumfananishe na mtu ambaye ni WAPENDA UBUYU na wapenda siasa maji masafi tu ndo wanamjua
ANYWAY KIPENDA ROHO HULA NYAMA MBICHI.......
MANGE NI ZAIDI YA SNOWDEN