[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama alivyokuwa tishio kwa nyumbu wapumbavu alipokuwa akimtangaza mamvi kuwa kajinyea
At least huyu c mnafiki, CCM ni chama dola kina maamuz makubwa juu ya nch so wakitaka kuumaliza upinzani totally wanaweza, so CCM kushindana na Upinzan n sawa na mama mwenye nyumba kushindana na mfanyakazi wake wa ndan anytime unamfukuza tu na hawez hata ajitetee vip. Lakin kabla upinzan haujafa kabsa Tanazania CCM na watanzania wote tutafakar je, ni kwel hatuuhitaji kabsa upinzan!? Je, hauna maana kbsa na Je, kuna haja ya uchaguz tena 2020!?, izo pesa za uchaguz c bora ziingie kwenye SGR iishe haraka maisha ya watu yarud tena kua km zaman maana saiv maisha magum ukiuliza sabab SGR, Bombadia, cjui umeme wa viwanda. Daahh
Hata mimi sijamuelewa huyu yani katoka katika mstari wa mada anaanza fanya meandering akati mada aiongelei mamb ya kuhama chama na kina nyaranduHebu punguza jazba uandike kitu kinachoeleweka unakimbilia wapi? Una haraka gani!? Kwani hapa tunamjadili Nyalandu?
mshana jr Mange huwezi kumlinganisha na Snowden hata chembe!! Snowden alitoa siri yaani classfied information lakini huyo Mange anatoa udaku tu!!Ni watu wawili tofauti kabisa kuanzia asili mpaka jinsia bila kusahau habari zao.. Labda kinachowakutanisha ni ule uthubutu wa kufunua ya sirini juu ya serikali zao... Lakini Snowden kampiku Mange yeye sio serikali yake tu bali serikali mbalimbali duniani... Huyu ni mdukuzi wa kimataifa, mjanja mwerevu na mchawi wa software.... Nywila gani imshinde Snowden? Kama kaziweza za marekani zile ambazo ni very sensitive atashindwa na ipi?
Snowden ni kitisho hasa kwa serikali ya nchi yake.... Kuna baadhi ya mambo hubaki kuwa siri za nchi na kuyatoa nje kabla ya muda wake kuwadia ni hatari sana.. Snowden anafurahiwa na mataifa adui wa marekani.... ANATOA SIRI ZA NCHI... hapa kuna kukosa uzalendo wa aina fulani... Hata kama jambo ni baya lakini kama linamaanisha kuilinda nchi kukaa kimya pia ni jambo la busara kuliko kupayuka.....!!!
Mange Kimambi mdogo wangu huyu... Sometimes ni kama chizi mropokaji lakini ana uthubutu ambao wengi hawana.... Wakosoaji aina yake wapo popote duniani na ni muhimu kuwa na watu wa kaliba yake.... Anakufanya uwe makini zaidi na utende kwa weledi zaidi.... Lakini tofauti na Snowden Mange habari zake sio za udukuzi bali na za kupewa na watanzania wenyewe walioko kwenye nafasi ya kuzipata habari husika.... Mange hana makosa analetewa HADUKUI.. HANA UWEZO HUO....!!!!
Sifurahishwi na baadhi ya post zake, zingine zina utoto mwingi, na baadhi ni mambo ya kike kuzodoana na kutambiana, kusemana vibaya na kutukanana... Lakini ukiondoa hayo makandokando kuna vitu makini anatuma japo naye anapelekewa.....
Ni aibu kwa serikali kuacha mambo muhimu na kuanza kuhangaika na mkosoaji wa mitandaoni... Ni aibu kwakuwa kama serikali ni safi basi haiwezi kuchafuliwa na post za kimbeambea... Ukiona serikali inaaza kuhangaika na kufanya figisu nyingi ili kummaliza Mange jua kuna kitu si bure... Kuna mambo yasiyo na faida kwa Taifa yanajaribu kufichwa.. Kuna kaliba inalindwa isiyo na faida yoyote kwa Taifa.....!!!
Watende kwa weledi, makosa yapo hatukatai... Hakuna mkamilifu hata mmoja akiwemo Mange mwenyewe lakini kutumia nguvu nyingi kuhangaika naye ni ishara tosha kuwa yuko sahihi na kuna tatizo kubwa mahali
Ccm kaz yake n kununua tu wanachama
Kama alivyokuwa tishio kwa nyumbu wapumbavu alipokuwa akimtangaza mamvi kuwa kajinyea
Usisahau ruhusa ya kujenga kwenye vyanzo vya maji... Inawezekana kuna wakati madishi yetu yanachezaTatizo kubwa ni upungufu wetu wa akili pamoja na kufikiri kwetu watu weusi maana watu wamefukuzwa makazini kwa kufoji vyeti lkn leo kuna mtu yupo ilala boma pale taasisi zetu nyeti zimekili amefoji vyeti pamoja jina lkn eti mzalendo ameachwa turudi kwenye bomoa bomoa wengine wamempigia kura hamna kuwabomolea wengine wengi kutoka kaskazin ruksa wavunjiwe tu vibanda vyao hakika yanayoendelea kuna umuhimu mkubwa wa kufirikia upya naisi tumeshindwa kujitawala yule bwana mkubwa wa us km yupo sawa vile khs watu weusi
mshana jr matusi ya nguoni siyo desturi yetu watz hivyo ni lazima anyamazishwe kwa nguvu zote huyo ndugu yako!Kwanini sasa serikali yetu inatumia nguvu nyingi sana kutaka kumnyamazisha!?
Mnachosahau ni kuwa hao hao upupu ndio wana mpa Intel Mange na 85% ya taarifa za Mange ni sahihi sababu zinatoka sources sahihi ukiachilia mambo yake binafsi na matusi ambayo kiasi kikubwa huyatoa anapochokozwa mimi namuelewa sana huyu manzi
potezea mkuu. Mipandikizi huwa haielewi hata kwa ngumi.Umeelewa nilichoandika lakini?