Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,613
- 7,497
Huyu Mange ni zaidi ya CIA anajua kucheza na akili za wadanganyika.
Katika kipindi ambacho serikali, wapinzani na wananchi wanadai katiba Mange Kimambi awa kinyume na makundi yote akidai matusi aliyokuwa anatoa ilikuwa ni mental health problem iliyosababishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya.
Tupambanie katiba au tutoke kwenye reli? Tumsubirie Mange Kimambe apone kwanza au Tumuombee msamaha kwa Mh. Rais? Huenda Mange ni double agent anayecheza na akili za watanzania