Hivi Mange ni tishio kuliko Snowden?

Hivi Mange ni tishio kuliko Snowden?

Jumamosi jayo kibaha basi na hamu zote [emoji85] [emoji85] [emoji85] zote zote

Hahahahaaa yeeey .... itabidi mipango mingine isifanyike hapa sebleni, iwe chumbani.

Asante kwa mualiko rasmi. Kasie matata on the way to Kibaha. Ila usinifanyie dawa nikalowea na kumsahau dadii hehehehehe.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] hapana kabisa after all nitakachotumia ni kipande tuu[emoji3] [emoji115] [emoji123]
 
Mshana nakuelewa sanaa haswa unavyokua na habari za huku na huko huchagui jukwaa.... Ila jukwaa la mapenzi sijawahi kuona
 
[emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji120] nipo napatikana japo si sana... Kule ndio lango siwezi kukuacha
 
Jukwaa la uchawi nadhani unalimudu vilivyo... Alafu kingine jaribu kutenga mafungu mafungu ya habari kumvutia msomaji... Yan unaandika ata mistari mitano yenye maana sawa zen unaruka
 
Napendelea kuwa na paragraph zinazoacha maswali fikirishi ndio aina ya uandishi wangu... Ila naweza kubadilika asante kwa angalizo
 
Unabananisha mnoo mkuuu.. Habari inakua nzuri ila haivutii kusoma..
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] hapana kabisa after all nitakachotumia ni kipande tuu[emoji3] [emoji115] [emoji123]

Hahahahaaa yaani wewe, hako kaki pande ndo inakuweje? Katanifanya nilowee kibaha hadi mwaka mpya au ntakaa siku tatu tuu?

Ati utakachotumia ni kipande tuu... cha dawa? Bora tuazime bangi kwa Mentor tuvute wote tuwe stimu juu.

Mwathuu, shighana na vipande vidorii. Kinduu ni mshombee... hehehehhe
 
Unabananisha mnoo mkuuu.. Habari inakua nzuri ila haivutii kusoma..
Ni kwa vile tumezoeshwa kutafuniwa kila kitu.. Hatuna muda wa kufikiri ama kufanya tafakuri
 
Hahahahaaa yaani wewe, hako kaki pande ndo inakuweje? Katanifanya nilowee kibaha hadi mwaka mpya au ntakaa siku tatu tuu?

Ati utakachotumia ni kipande tuu... cha dawa? Bora tuazime bangi kwa Mentor tuvute wote tuwe stimu juu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Mange sasa kwa kuwa kashapata umaarufu kupitia huu USHILAWADU wa serikali angeandaa timu ya kuhack na kupata info za Serikali hv anakosa watu km Snowden huko Marekani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]

Wathekanniii??!!! Shigha nikuvwiree. .... ahaa wanatusoma na hapa wanatafuta kamusi za kipare. Tuingie kaya hana ena vana. ... wataota mambo ya wakubwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
View attachment 643152Mange kazi yake yeye ni kupokea habari kama zilivyo na kuzirusha.. Hahangaiki... Ukiona hivyo ujue system imejaa matobo... Hakuna kitu kinachoitwa tight mark... Hakivuji chochote
Shida kubwa itakuwepo katika uhakiki wa vyeti! Atatumia vyeti gani? Au ndo atatumia sifa za Maji Marefu na Kibajaji?
 
Back
Top Bottom