Hivi kwanini TANZANIA ma'handsome' wachache?

Hivi kwanini TANZANIA ma'handsome' wachache?

kwa sababu wengi mama zao na baba zao sura zao ni kama za bibi zao na babu zao pia
 
mwanaume hasifiwi sura ...mwanaume anasifiwa kuingia bak kudeposit na kuingia ATM kutoa hela
 
Nasikia mahandsome wa kibongo ni wa kutoka kanda ya kaskazini
 
Tuzae na wahindi, wazungu na warabu tutokomeze hiki kizazi cha sura mbuzi
 
Nasikia mahandsome wa kibongo ni wa kutoka kanda ya kaskazini

Ni kweli kabisa ktk mikoa ya KILIMANJARO na ARUSHA ma handsome ni wengi kuliko sura ngumu.

Lakini katika mikoa ya kusini unakutana na watu kama hawa;
sura ngumu.jpg
 
what about MZURI MIMI!uuuuwih nakondaaaje na hawa watoto wa kiume wanazaliwa kizazi hiki jamani!
baba zao wanaliona hili lakini? Dark City vipi? Mtambuzi mnaliona hili ? Kaizer jahazi laenda mrama huku Asprin wapi kile kizazi mlichoachiwa na baba zenu? Mkusa msipoangalia itabidi mrudi tu barabarani i seee! Jiwe Linaloishi hapa pana kazi mjue! Nicas Mtei shemeji kule mgombani tutapata wa kuwaachia viamba kweli? watu8 man pride inaishia wapi siku hizi? SnowBall pacha ujue mtabaki wenyewe muda si mrefu watoto wenu washindanisha unyoofu wa nyusi huku! The Boss vipi jamani!tunahisi tyt zinapungua madukani huku! moto2012 umetulia tu vijana wanakaa masaa mawili kwenye vioo!
vipi jamani tunafanyaje na hiki kizazi!

Nilifikiri Original comedy walishazungumza hilina linatosha?
kumbe bado?this is sad
 
Nilifikiri Original comedy walishazungumza hilina linatosha?
kumbe bado?this is sad

wala si utani!yani mi niseme nyusi zangu nzuri na mwanaume nae aseme nyusi zangu zimenyooka vizuri!lol mbona kazi yailahi!
 
wala si utani!yani mi niseme nyusi zangu nzuri na mwanaume nae aseme nyusi zangu zimenyooka vizuri!lol mbona kazi yailahi!

ukiona anajisifia hivyo....wewe sema 'aahhh mbona kitaambo yulee'
watu wataelewa lol
 
ukiona anajisifia hivyo....wewe sema 'aahhh mbona kitaambo yulee'
watu wataelewa lol
eti enh!ila unafikir naweza kupata hata dk na mtu wa aina hii!
yani enzi zangu zilee za ubinti akija mtu na madesign haya ya unajua mimi sijui nina hiki nini!au si unajua nilivyo handsome ahaargh!nachukiaaaje!
 
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie

Not trying to be arrogant, but if I walked down the street and a girl saw me, she might take a look back because maybe I'm good-looking, right?

by the way watch the video below

Dating Techniques - Science of Attraction - YouTube
 
Naomba nielekeze makao yenu makuu mlipo NATAKA KUTOA UFADHILI MNONO KWA CHAMAAAA!!!!! Ni pm adress yenu. IM SRIOUS!!!!!!!!!!

The face is the mirror of the mind, and eyes without speaking confess the secrets of the heart
and Many people treat their bodies as if they were rented from Hertz-something they are using to get around in but nothing they genuinely care about understanding.

lol......you got life to live bwana but nothing to loose.......
 
eti enh!ila unafikir naweza kupata hata dk na mtu wa aina hii!
yani enzi zangu zilee za ubinti akija mtu na madesign haya ya unajua mimi sijui nina hiki nini!au si unajua nilivyo handsome ahaargh!nachukiaaaje!

Uamwambia 'ma handsome wanatafutwa mombasa' lol
 
what about MZURI MIMI!uuuuwih nakondaaaje na hawa watoto wa kiume wanazaliwa kizazi hiki jamani!
baba zao wanaliona hili lakini? Dark City vipi? Mtambuzi mnaliona hili ? Kaizer jahazi laenda mrama huku Asprin wapi kile kizazi mlichoachiwa na baba zenu? Mkusa msipoangalia itabidi mrudi tu barabarani i seee! Jiwe Linaloishi hapa pana kazi mjue! Nicas Mtei shemeji kule mgombani tutapata wa kuwaachia viamba kweli? watu8 man pride inaishia wapi siku hizi? SnowBall pacha ujue mtabaki wenyewe muda si mrefu watoto wenu washindanisha unyoofu wa nyusi huku! The Boss vipi jamani!tunahisi tyt zinapungua madukani huku! moto2012 umetulia tu vijana wanakaa masaa mawili kwenye vioo!
vipi jamani tunafanyaje na hiki kizazi!

hizi Tamthilia za akina isabela, salvado, ricardo,pacheco, Pacco na shule za boding tunazowapeleka watoto wakiwa bado wadogo zinatuharibia sana watoto, wazazi wa sasa hivi inabidi tubadilike sana kwenye malezi ya watoto wetu hasa wakiume la sivyo tutajikuta wanaume tumebaki wa mbegu tu. mi inanisikitisha sana japo nina watoto wa kike tu lakini bado hanifanyi niache kutetea malezi bora ya watoto wa kieume. agenda ya malezi ya watoto wetu hasa wakiume inabidi iwe endelevu. ntarudi.
 
Hahahahahahaha
Ngoja nijifiche nione ngumi!
 
Back
Top Bottom