Hivi kwanini TANZANIA ma'handsome' wachache?

Hivi kwanini TANZANIA ma'handsome' wachache?

Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie

sasa kama hamna handsome bongo je ukienda kenya si utalia??manake wote wabaya!
 
Hapo unamaanisha BABA yako ana sura mbayaaa, KAKA zako wana sura mbayaaa, Wajomba zako wanasura mbaayaaa
BABU zako wana sura mbayaaaaa..................!
Katika hao wote kwa upande wangu ni opposite yaani wooteee mpaka mie ni handsome a.k.a mkonokiasi......!:bowl:
 
sasa kama hamna handsome bongo je ukienda kenya si utalia??manake wote wabaya!

:becky::becky::madgrin::madgrin::becky::becky::madgrin::becky: mkuu una maanisha kenya WANAWAKE na WANAUME wooote wana sura MBAYAAA..........:whistle:?
 
Hivi ukiwa handsome unapata faida gani? Sasa kwa taarifa yako mademu wanawachukua mahandsome ili kuuza nao sura tu lakini wakamuaji ni watu wa kawaida tu. Mwanaume hasifiwi kwa sura bali husifiwa kwa kazi...by Mpoki
 
umeona ee....tena wengi wao wana na marufu makali ya vik**wapa na midomo kunuka..sijui hawajifanyiagi usafi wa maana?...hali si hali kina dada tuna kazi kweli!! hahahahahahahahah!!!!!!!!!!!!!!!
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie
 
mwanaume hasifiwi sura,
mwanaume hasifiwi kula,
mwanaume hasifiwi kuoga na kupaka mafuta,
mmemuona jk mlomsifia kuwa mmepata rais handsome, mtanashati, mwenyemvuto, wa kuchekacheka ... yamewatokea puani
mwanaume kazi bana, mwanaume kitandani, mwanaume wallet yaani mfuko, mwanaume maamuzi, mwanaume msimamo

"Yapa !yapa! yapa! yapa ebanaeeeeeeeeeeeee"
 
Ntazaa na m brazil au mu asia, ili nipate chotara km vp!
 
Handsome ndio nini?

Hata mimi huwa sielewi maana yake...

Nadhani ukinambia mimi sijue eti ni handsome, utakuwa umekosa tusi la kunituka....it is enough of an insult to start the fight....!!

Anyway...dunia ni yao...chaguo ni lao...

We played our part already..

Babu DC!!
 
Yani hata mi naskitika tuko wachache kweli mahandsome!! Chama chetu cha mahandsome tumefanya audition kupata watu lakn kila wanaokuja hawakidh vigezo *heheh*

Naomba nielekeze makao yenu makuu mlipo NATAKA KUTOA UFADHILI MNONO KWA CHAMAAAA!!!!! Ni pm adress yenu. IM SRIOUS!!!!!!!!!!
 
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie

...wewe naona unamtafuta Pinda maneno...
 
KUSEMA KWELI MADAI YAKO NI YA MSINGI SANAAAAAAAAAAA! Ndo maana nashindwa kumwacha mchaga kwa rahaaa, sababu katika suala la kushusha ENGINE, vyote BANK ACCOUNT for INHERITANCE PURPOSE NA SURA FOR THE LOOKS VINAHUSIKA SANAAAAA! Waweza kumkana mwanao!!!!!!!!!! Ofcourse ni kwa sie tunaosujudu LOOKS!!!!!!!!!!

MAHANDSOME WENYE PESAAA NI THE MOST SCARSE COMMODITY KWA KWELIIII!!!!!!1

Hato makao makuu please please nielekezwe nahitaji DONATION YA SPERM, Manake hiii specie inaelekea kuwa EXTINCT!!!!
 
SonOfaBitch..! "Mine Boy"

Ukipiga kura kutafuta watakao kuelewa...sina hakika kama utafikisha 5%....

Ndo maana lugha yetu hawaielewi kamwe...

Halafu umesahau hii...."They are the same inside...Mine Boy"!!!

Mungu tu ndiye anayejua..

Babu DC!!
 
Kwa hiyo mnataka kuniambia mwanaume wasira sio.
 
Ukiniambia huyu mtoa mada ni mwanaume utaniharibia siku yangu! Anaulizia handsome.bongo men?
kwa kweli naomba niiharibu tu shosti wangu!huyu nae ni mwanaume!(KWANI KUNA HANDSOME WA KIKE)
 
Huwezi kupigania maisha magumu ukawa na sura nzuri

6851554577_80f8cddaf6_z.jpg
 
Kwa sababau ni wanaume wa kazi, hawauzi sura.lol!
 
Back
Top Bottom