Optatus Barnabas
Member
- Sep 18, 2012
- 58
- 1
nina mashaka na kauli yako, mimi hapa ni Padri wa kibongo lakini mbona waumini wananishobokea kinoumah na ninabadilisha waimba kwaya kama bodaboda alafu siwapi hata senti zaidi ya kuwaambia waongeze sadaka.