Hivi kwanini TANZANIA ma'handsome' wachache?

Hivi kwanini TANZANIA ma'handsome' wachache?

Yani hata mi naskitika tuko wachache kweli mahandsome!! Chama chetu cha mahandsome tumefanya audition kupata watu lakn kila wanaokuja hawakidh vigezo *heheh*

Sikia kijana. Mwanamme hatakiwi na si lazima awe handsome kiasi kwamba hata jamii inamshitukia kwa ushoga. Mwanamme inabidi aridhishe na kuwa na mvuto wa kiume si uzuri wa kidemu kiasi kwamba hata wewe mwenyewe ukitembea na demu unajiona ni mzuri kuliko demu. Kawaida wanaume wa namna hii wana psychological problem mfano wa Ben Kinyaia, wa kujiona na kujifananisha uzuri na kila demu afanyaye kazi naye. Sasa nikuulize, huu ni ujiko ama ujinga? Ushoga mara nyingi unakuja kwa njia kamaa hii ya Ben Kinyaia na bahati nzuri hapa bongo mabrotherman mashoga jamii ya Ben wako wengi mno, yaani karibia kila kona ya nchi na Ben ndo role model wao. Kwako wewe mleta mada (nahisi ni demu kama si shoga), ungependa kutoka na Ben Kinyaia ama jibaba la nguvu lenye mvuto wa kiume?
 
To put it bluntly (no offense intended) it is believed that good looking guys have no game.

An average, below average guy can walk in there with serious game and close sets.

You can be super great looking, but if you never display values other than your looks, you will never get anywhere with the opposite sex.

Unfortunately, guys who think they’re handsome; they don’t take efforts to develop their personality. They believe that girls will like them because of their handsome.

At the end of the day, a girl will pick a guy not because of his handsome, but his personality. And, to some girls, your wallet, of course.

Men are visual but women are not the same. Men focus on their game and don’t rely on the shut up and look pretty method that leads them to go home alone at night for ages.

ur absolutely right, i am having that problem. Girls keep staring at me all the time. But i have unique pesonaliti.
 
Uhandsome ni pesa zako. Ukiwa nazo za uhakika basi utasikia "Oooooh he's so cute!".
 
Kama mwanaume umeandika hilibwe shoga... Siutani.kazi kweli kweli
 
Here we go, AGAIN! snowhite, huu ugonjwa tuupe jina tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
ur absolutely right, i am having that problem. Girls keep staring at me all the time. But i have unique pesonaliti.

What problem?

What is the unique personality you have?

That when you're out you wear your watch on your right wrist, with the timepiece on the inside of your wrist so girls won't ask you about the time?

Or when you're in, you run around the room naked singing "sex bomb" by Tom Jones into a hairbrush when nobody's watching?
 
Here we go, AGAIN! snowhite, huu ugonjwa tuupe jina tafadhali.

what about MZURI MIMI!uuuuwih nakondaaaje na hawa watoto wa kiume wanazaliwa kizazi hiki jamani!
baba zao wanaliona hili lakini? Dark City vipi? Mtambuzi mnaliona hili ? Kaizer jahazi laenda mrama huku Asprin wapi kile kizazi mlichoachiwa na baba zenu? Mkusa msipoangalia itabidi mrudi tu barabarani i seee! Jiwe Linaloishi hapa pana kazi mjue! Nicas Mtei shemeji kule mgombani tutapata wa kuwaachia viamba kweli? watu8 man pride inaishia wapi siku hizi? SnowBall pacha ujue mtabaki wenyewe muda si mrefu watoto wenu washindanisha unyoofu wa nyusi huku! The Boss vipi jamani!tunahisi tyt zinapungua madukani huku! moto2012 umetulia tu vijana wanakaa masaa mawili kwenye vioo!
vipi jamani tunafanyaje na hiki kizazi!
 
Last edited by a moderator:
dah! sikatai kwamba utanashati ni credit kupata mwanamke mzuri(mwenye mvuto), lakini si kigezo muhimu ambacho wanawake hutumia kuwapa waandani wa mioyo yao.
Just be a gentleman uone vile utavyokuwa kivutio kwa wadada
 
Hamna mtu mbaya duniani sema wengi ugumu wa maisha ndo unaochangia,tafuta mbaya mng'arishe na shillingi kama hajagombaniwa ka mpira wa kona,kitu linang'aa utafikiri shombe vile
 
Ukiniambia huyu mtoa mada ni mwanaume utaniharibia siku yangu! Anaulizia handsome.bongo men?
what about MZURI MIMI!uuuuwih nakondaaaje na hawa watoto wa kiume wanazaliwa kizazi hiki jamani!
baba zao wanaliona hili lakini? Dark City vipi? Mtambuzi mnaliona hili ? Kaizer jahazi laenda mrama huku Asprin wapi kile kizazi mlichoachiwa na baba zenu? Mkusa msipoangalia itabidi mrudi tu barabarani i seee! Jiwe Linaloishi hapa pana kazi mjue! Nicas Mtei shemeji kule mgombani tutapata wa kuwaachia viamba kweli? watu8 man pride inaishia wapi siku hizi? SnowBall pacha ujue mtabaki wenyewe muda si mrefu watoto wenu washindanisha unyoofu wa nyusi huku! The Boss vipi jamani!tunahisi tyt zinapungua madukani huku! moto2012 umetulia tu vijana wanakaa masaa mawili kwenye vioo!
vipi jamani tunafanyaje na hiki kizazi!
 
Last edited by a moderator:
Hiv jamani mbona bongo
tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na
sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia
inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia
faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi
kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi
mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie

Da! Umenichekesha wewe! Haya bwana unachokoza watu..!
 
Halafu utamkuta aliyeanzisha hii thread sura kama anapuliza moto halafu eti yeye anataka wanaume wazuri! Umejiangalia kwanza wewe sura yako? Kwanza uzuri kwa mwanaume unamaanisha kitu gani kwa mtazamo wako?
 
If you are not HANDSOME at the age of 20's,
If you are not STRONG at the age of 30's,
If you are not RICH at the age of 40's,
If you are not WISE at the age of 50's,
Forget it all, it's all over!
So ni stage tu hizo msimlaumu huyo HANDSOME!
 
Back
Top Bottom