Hivi kwanini TANZANIA ma'handsome' wachache?

Hivi kwanini TANZANIA ma'handsome' wachache?

Ngoja nirudi jukwaa la biashara
:ranger:
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie
 
Kuna kitu nataka ukijue kuhusu ushoga sawa. Shoga sio tu mwanaume anayeliwa ile line ya simu hapana.
Shoga ni mtu yoyote mwenye jinsia ya kiume anayeliwa ile line ya simu au anayemla mwanaume mwenzie ile line ya simu vivyo hivyo kwa watu wenye jinsia ya kike wote wanaitwa wasagaji.

Tofauti ni kwamba ktk mifumo hii miwili mmoja anakua chini na mwingine juu(mpokeaji na mtoaji).

Naomba jamii ielewe mtu yoyote mwenye jinsia ya kiume akiwa anawala wanaume wenzake hiyo line ya simu na kutoshiriki kitendo hicho na jinsia tofauti na yake huyo pia anaitwa SHOGA.

Nadhani ushoga sio uzuri wa sura sikubaliani na hilo. Tembea uone .....
Hii kitu ni mbaya hasa kama ujazaa au una watoto wadogo wa kiume au kike
anyway sura siwezi zungumzia coz am still kijana na pia natarajia watoto Mwenyezi akijalia.

Ungekua uswahilini wamama wangekusuta sana ktk hili la sura za wanaume

Muumba atuepushie sisi waja wake
 
Tuzae na wahindi, wazungu na warabu tutokomeze hiki kizazi cha sura mbuzi

Sasa nimekupata kumbe ndo ulikokua unaelekea sawa.
Acha kuabudu rangi na sura sisi ni wa afrika na tunajivunia kuwa hivyo.

Yale yale ya makaburu kusini mwa afrika kuwamaliza weusi
Amerika kuhusu wahindi wekundu
Asia kuhusu kabila la tamil

Mwingine anayejua zingine wanajamii pls ziwekeni coz jamaa amekuja na salio la vesi za karne zilizopita
 
To put it bluntly (no offense intended) it is believed that good looking guys have no game.

An average, below average guy can walk in there with serious game and close sets.

You can be super great looking, but if you never display values other than your looks, you will never get anywhere with the opposite sex.

Unfortunately, guys who think they’re handsome; they don’t take efforts to develop their personality. They believe that girls will like them because of their handsome.

At the end of the day, a girl will pick a guy not because of his handsome, but his personality. And, to some girls, your wallet, of course.

Men are visual but women are not the same. Men focus on their game and don’t rely on the shut up and look pretty method that leads them to go home alone at night for ages.

Trying to test my Form four English!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
haya mimi sina neno lakini inawezekana neno handsome labda kwako lina maana nyingine tofauti na nijuavyo mimi au kipimo cha u handsome kwako ni tofauti na cha wengine
 
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie

Baba anakua Mizengo Pinda,mama Anne Makinda...unategemea utapata ma handsome.....????
 
ha ha ha nimecheka sana kuhusu hii mada maana watu walivyochangia ni noma. ila ukweli mwanaume kujisifia im handsome sijui vip kuna jambo wacha wasichana wakusifie ila tuje kwenye mada ukweli kabisa Bongo tuna wanaume tuna sura mbaya saaana huo ni ukweli usiopingika najua ukweli unauma, vijana wenye sura nzuri wengi wao ni hasa pande za kaskazini arusha to kilimanjaro ila mikoa mingine jamani dah inatia huruma na tukija kwenye usafi vijana ukweli nimesoma chuo hapo bongo na nimekaa hostel unakuta mwanaume ana boxer anavaa siku tatu bila hata kufua, kupiga mswaki napo ni shida na huyo ni mwanachuo anasomea degree utamuona anavaa boxer safi tu wakati anaenda kusex na demu wake ila vitu vingine bado ni vichafu sio siri nilipata shida kukaa hostel nilikuwa sijaona haya mambo halafu wanakusema eti wewe mwanaume utabadilishaje boxer kila siku umekuwa demu? wanakuambia kuwa mgumu, mgumu unatembea na mavi siku tatu? (maana hata ukijamba ni harufu ya mavi) yaani mpka nilikuwa najiuliza hivi huko walikotoka hawakusoma hata somo la sayansi kimu? najua mtanishambulia ila huo ni ukweli hata humo maofisini watu tunapishana nao wananuka vikwapa halafu mnasema mwanaume anasifiwa kazi tu? na usafi unazingatia na ukiwa smart lazima uhandsome uonekane mnamuonaje diamond sasa hivi? je angekuwa konda ingekuwaje? akiwa anadai nauli lazima utoe kwa hiyo sura yake, lakini sasa hivi alivyo smart msafi wala sura yake hainokani mbaya tena kama bonge la handsome, inshort usafi pia hasa kwenye nguo za ndani, nyoa sehemu zako, kinywa kinukie inaleta ladha pia ya mapenzi, kuna mtu kasema nenda uganda au kenya ukweli huko kunatisha ni balaa wanasura mbaya sana sana na hilo wanajijua sijui ni kizazi kipi. inshort ni wavulana wachache sana wanaojitambua huo ni ukweli kabisa diva alishawahi kuongelea hilo watu wengi walimsema vibaya ila ukweli walioguswa na ile story walijerekebisha maana wapo katika jamii zetu wengi tu
 
wastage of resources to concetrate on this topic

Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie
 
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie

wewe mwenyewe mbaya. Lol
 
yani inabidi wawe na pesa za kutonsh, mana kuwa na mume mbaya soo mwanangu.
 
wanaume wabaya wamekununua mara ngapi? tujuze maana inaonekana una statistics za ukweli.

Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie
 
Xema weng hawana ela ndo mana wachache

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ha ha ha! mbona ma HB bongo wapo wengi tu Ben Kinyaiya, JK, EL but kuna cha kujivunia kwako kuhusu utendaji wao? Heri Sura Mbuzi & Zakayo Mzee Ben!!!
 
Back
Top Bottom