being handsome as far as I understand...I repeat as far as I understand, is sth very subjective...hutegemea anaetizama ni nani...though nakubali kwamba wanaume wengine huwavutia wanawake wengi kwa huo muonekano wao
ila kuna uzuri alafu kuna mvuto n this applies to both (men n women)...uzuri (the fact of being handsome or beautiful) matters somehow ila not as much as mvuto (attractiveness) does. hivi haujawahi kuona mwanamke au mwanaume wa kawaida tu but u just can't find urself stop looking at her/him? now that's mvuto. if u ask me, that matters a lot. mara nyingine unaweza kutana na mwanamke/mwanaume (for the sake of the mada) ambaye ni kama hana "kasoro" ila ukimuangalia once unageuza uso wako against where s/he is coz ushachoka kumtizama n u can't really explain y? ni kwamba huyo mtu yawezekana ni "mzuri"/handsome ila hana mvuto.
na mara nyingi mvuto wa mtu waweza kuongezeka au kupungua depending on a number of factors. one major factor I know ni finances za kumuwezesha mtu kujipenda. hapa simaanishi kwamba mtu awe extraordinarily loaded, nazungumzia kipato cha kawaida tu cha kumfanya mtu ajitunze tu. haihitaji mtu awe bosi, hata mwanafunzi anaiweza hii.
wanaume wengi tunatumia msemo "mwanaume anasifiwa kazi" veeeeeeery true...ila isiwe to the extent ya kujisahau maana hata wale comedians wanaosema hivyo husema wakiwa wamevalia suti za maana tu!
mwanaume anaweza kuongeza mvuto wake kwa kufanya vitu basic tu kama; kuzingatia kuoga na the smell of ur breath, kutumia deodorants na colognes (wanawake wanapenda wanaume wanaosmell vizuri ila sio ndio unapuliiiiiiiiza mpk unakuwa kijikejike), kata nywele na nyoa ndevu zako kwa mtindo ambao unaendana na kichwa na sura yako (trust me this really works), vaa nguo ambazo rangi zake hazina ugomvi na skin tone yako (chagua rangi zinazoenhance skin tone yako) n for crying out loud put on stuff ur size (wengine mvuto wao hupungua hapa, kwa kuvaa vitu oversize, kuvaa suruali zinazovutika juu kwa hapa katikati, doooh zinaharibu sana aisee) the same goes for shoes...bila kusahau kuwa na utamaduni wa kubadili boxer,vests na socks daily...expression za uso nazo zinaingia, some look their best when they smile often ila kwa wengine serious looks (I dnt mean kufura all the tym please) make them look more attractive (kazi kwako kujijulia), the way unavyotembea (wengine wanatembea kimzigomzigo) n the way u talk (wengine wanapenda kushout alafu wanayoongea yanaweza kuwa si ya maana kivile, ubishi usio na maana, kwa wanawake watu wa namna hii ni persona non grata)
tunakosea sana tunapofikiri kujipenda inatufanya kuwa feminine bana. we jipende kama hivo alafu uniambie....of course sasa na wallet ikiwa nene ndio utafananishwa na Morris Chestnut, Denzel au William Levy n.k...jipatie tu, zingatia mvuto uhandsome ni vitu vya kuzaliwa navyo bana...ishu mvuto