Tofauti ya Tanzania na Afrika Kusini

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
1,736
15,859
Baada ya kwenda South kwa nyakati mbili tofauti na kutembea maeneo mbalimbali tofaut, kwa ufupi nimezurura na maeneo mengi nayajua vizuri.

Kuna vitu vingi sana sisi Watanzania tuna tofautiana na Wasouth, nitaandika baadhi ya hizi tofauti:

1. Ushirikiano na Umoja

Wenzetu Wasouth wana umoja sana asee na wanapendana sana, tofauti na sisi wabongo tumejaa chuki, wivu na hatuna umoja. Wenzetu wana umoja sana kwenye maslahi yao kuanzia kiuchumi, kisiasa nknk, bongo tukasome.

2. Suala la Bata/Starehe.

Kwenye Suala la kula Bata Wosouth wako vizuri sana kwenye hii sekta na bata zao ni ghali sana sio kama huku Bongo. Wenzetu wakipata pesa kuimalizia kwenye starehe ni kitu cha kawaida sana.

3. Gharama za Bando internet

Bei za bando ziko juu sana na wengi wao wanatumia wifi, ni ngumu sana kuwakuta wasouth kwenye page za udaku kama wabongo. Angalia hata celebrities wao jinsi wanavyopata engagement ndogo kwenye social medias tofauti na sisi huku kwetu, tunapenda sana udaku kushinda sana mitandaoni.

4. Wasouth ni watu wavivu sana.

Honestly, huwa nasema Tanzania ingekuwa na leader wazuri na wenye uchungu na nchi/raia, naamini tungekuwa mbali sana kiuchumi. Kwa jinsi wabongo tunavyopambana kutafuta pesa kwa jasho bhasi tungekuwa mbali sana kimaendeleo.

Wasouth ni watu wavivu sana na hawataki kazi ngumu kabisa na asilimia kubwa ya vijana wamejiingiza kwenye uuzaji madawa na kudance. Hizi kazi ngumu nyingi utakuta zinafanywa na foreigners kama Watanzania, wanigeria, wakenya nknk.

Watu wa kule wameridhika na maisha hata akipata pesa anakwenda kulia bata. Kumkuta kijana mkubwa anakaa kwa wazazi ni jambo la kawaida sana. Binti anazaa na wanaume hata watatu tofauti kukaa na watoto kwao ni kitu cha kawaida sana.

5. South wamebarikiwa kwa Pisi kali sana.

Kwa mliofika kule nadhani hapa tutakuwa pamoja, wenzetu kwa pisi wamebarikiwa sana, yaani kama utakwenda maeneo ya starehe na wewe ni Fisi kuzungusha shingo na macho ni kitu cha kawaida. Jambo lingine la kushangaza pisi za kule sio choyo kabisa na asilimia kubwa ya wenyeji wana hit for free. Kama unaishi kwenye apartment ina pisi za kisouth kuzila ni kitu cha kawaida na ukiwa ndani una wifi, Netflix, utazila mpaka uchoke.

Mnasema mademu wa kibongo wanapenda kitonga? bhasi kwa madem wa south hata theluthi hawafikii, ukiwa na gari kabisa utakula mpaka ukinai. Ukiingia kwenye clubs nk kama unahela pisi yoyote unaondoka nayo na kule utasikia nataka Rand, na bei zao zina range kutoka Rand 100-2,000 inategemea na mwanamke na maeneo. Kama unapesa ukitaka hizi three some, 4 some unapata haraka bila shida, wakati kwa bongo ni ngumu sana. Mademu wa kule asilimia kubwa hawajatulia na ni malaya sana, na sio wachoyo ila asilimia kubwa wameungua, kuweni makini sana.

6. Uhalifu na Mauaji

Wenzetu vitendo vya uhalifu, ujambazi, mauaji, madawa nknk viko juu sana, suala la mauaji ni kawaida. Watu wa kule hawana masikhara kuchomoa gun na kukutwanga risasi ni kawaida. Unavyoenda kule kuwa makini sana na pisi za watu, ikiwezekana ishi maisha yako ukileta uliwatani utakwenda na maji.

7. Miundombinu

Kwenye suala la miundombinu Tanzania tukasome kwanza, hawa wenzetu wako vizuri sana kwenye miundombinu ya barabara nknk. Kwanza huwezi kuzikuta bodaboda zinarura kama huku kwetu, kule bodaboda kwaajili ya kufanya delivery, hizi bajaji sijawahi ziona kabisa. Upande wa Airport huwezi fananisha na JNIA , wenzetu miundombinu yao kama Ulaya na wanaheshimu sheria za barabarani

Wenzetu kama wanakata umeme wanapewa taarifa kupitia simu kuwa saa 4 usiku tutakata umeme, hivyo mtu anafanya mambo yake mapema kama kupika nknk, nafikiri huu utaratibu ni mzuri hata TANESCO wauige.

8. Mashoga

Kwenye suala la mashoga South Africa ni kiboko aisee Dar mbona safi asee, South Africa ni balaa hawa watu wako kila kona. Wanaume wa kule wengi wameharibika tayari na ushoga, nafikiri South Africa ndio nchi inayoongoza kwa vitendo vya LGBTQ kwa Africa. Mashoga wa kule wanavaa mpaka skirt, kuvaa mawigi, kupaka kucha rangi yaani ukikutana naye unaweza sema ni demu, ila jichanganye sasa.

Kule sio kuzuri kwa malezi ya mtoto wa kiume ni kumeharibika sana, Tanzania naona bado wanafanya kwa siri ila kule mambo ni hadharani na wenyeji wanaona kawaida tu.
 
Elezea namba moja wana ushirikiano na umoja kivipi
 
Mauaji sauzi ni kitu cha kawaida mno. Nahisi jamaa unaogopa kuongea ukweli, unafichaficha. Jamaa yangu anasema kuna mtaa alikaa, kila siku walikuwa wanauliwa si chini ya watu 5 mpaka 10. Pia kuna watu wanakodiwa kwa ajili ya kuua watu huko sauzi wanaitwa Inkabi.
Kama unataka demu mwenye msambwanda wa uhakika nenda sauzi. Ila kwa hao wanawake utakoswakoswa kuuawa ama kwa bunduki, kisu au ngoma
 
Baada ya kwenda South kwa nyakati mbili tofauti na kutembea maeneo mbalimbali tofaut, kwa ufupi nimezurura na maeneo mengi nayajua vizuri.

Kuna vitu vingi sana sisi Watanzania tuna tofautiana na Wasouth, nitaandika baadhi ya hizi tofauti:

1. Ushirikiano na Umoja

Wenzetu Wasouth wana umoja sana asee na wanapendana sana, tofauti na sisi wabongo tumejaa chuki, wivu na hatuna umoja. Wenzetu wana umoja sana kwenye maslahi yao kuanzia kiuchumi, kisiasa nknk, bongo tukasome.

2. Suala la Bata/Starehe.

Kwenye Suala la kula Bata Wosouth wako vizuri sana kwenye hii sekta na bata zao ni ghali sana sio kama huku Bongo. Wenzetu wakipata pesa kuimalizia kwenye starehe ni kitu cha kawaida sana.

3. Gharama za Bando internet

Bei za bando ziko juu sana na wengi wao wanatumia wifi, ni ngumu sana kuwakuta wasouth kwenye page za udaku kama wabongo. Angalia hata celebrities wao jinsi wanavyopata engagement ndogo kwenye social medias tofauti na sisi huku kwetu, tunapenda sana udaku kushinda sana mitandaoni.

4. Wasouth ni watu wavivu sana.

Honestly, huwa nasema Tanzania ingekuwa na leader wazuri na wenye uchungu na nchi/raia, naamini tungekuwa mbali sana kiuchumi. Kwa jinsi wabongo tunavyopambana kutafuta pesa kwa jasho bhasi tungekuwa mbali sana kimaendeleo.

Wasouth ni watu wavivu sana na hawataki kazi ngumu kabisa na asilimia kubwa ya vijana wamejiingiza kwenye uuzaji madawa na kudance. Hizi kazi ngumu nyingi utakuta zinafanywa na foreigners kama Watanzania, wanigeria, wakenya nknk.

Watu wa kule wameridhika na maisha hata akipata pesa anakwenda kulia bata. Kumkuta kijana mkubwa anakaa kwa wazazi ni jambo la kawaida sana. Binti anazaa na wanaume hata watatu tofauti kukaa na watoto kwao ni kitu cha kawaida sana.

5. South wamebarikiwa kwa Pisi kali sana.

Kwa mliofika kule nadhani hapa tutakuwa pamoja, wenzetu kwa pisi wamebarikiwa sana, yaani kama utakwenda maeneo ya starehe na wewe ni Fisi kuzungusha shingo na macho ni kitu cha kawaida. Jambo lingine la kushangaza pisi za kule sio choyo kabisa na asilimia kubwa ya wenyeji wana hit for free. Kama unaishi kwenye apartment ina pisi za kisouth kuzila ni kitu cha kawaida na ukiwa ndani una wifi, Netflix, utazila mpaka uchoke.

Mnasema mademu wa kibongo wanapenda kitonga? bhasi kwa madem wa south hata theluthi hawafikii, ukiwa na gari kabisa utakula mpaka ukinai. Ukiingia kwenye clubs nk kama unahela pisi yoyote unaondoka nayo na kule utasikia nataka Rand, na bei zao zina range kutoka Rand 100-2,000 inategemea na mwanamke na maeneo. Kama unapesa ukitaka hizi three some, 4 some unapata haraka bila shida, wakati kwa bongo ni ngumu sana. Mademu wa kule asilimia kubwa hawajatulia na ni malaya sana, na sio wachoyo ila asilimia kubwa wameungua, kuweni makini sana.

6. Uhalifu na Mauaji

Wenzetu vitendo vya uhalifu, ujambazi, mauaji, madawa nknk viko juu sana, suala la mauaji ni kawaida. Watu wa kule hawana masikhara kuchomoa gun na kukutwanga risasi ni kawaida. Unavyoenda kule kuwa makini sana na pisi za watu, ikiwezekana ishi maisha yako ukileta uliwatani utakwenda na maji.

7. Miundombinu

Kwenye suala la miundombinu Tanzania tukasome kwanza, hawa wenzetu wako vizuri sana kwenye miundombinu ya barabara nknk. Kwanza huwezi kuzikuta bodaboda zinarura kama huku kwetu, kule bodaboda kwaajili ya kufanya delivery, hizi bajaji sijawahi ziona kabisa. Upande wa Airport huwezi fananisha na JNIA , wenzetu miundombinu yao kama Ulaya na wanaheshimu sheria za barabarani

Wenzetu kama wanakata umeme wanapewa taarifa kupitia simu kuwa saa 4 usiku tutakata umeme, hivyo mtu anafanya mambo yake mapema kama kupika nknk, nafikiri huu utaratibu ni mzuri hata TANESCO wauige.

8. Mashoga

Kwenye suala la mashoga South Africa ni kiboko aisee Dar mbona safi asee, South Africa ni balaa hawa watu wako kila kona. Wanaume wa kule wengi wameharibika tayari na ushoga, nafikiri South Africa ndio nchi inayoongoza kwa vitendo vya LGBTQ kwa Africa. Mashoga wa kule wanavaa mpaka skirt, kuvaa mawigi, kupaka kucha rangi yaani ukikutana naye unaweza sema ni demu, ila jichanganye sasa.

Kule sio kuzuri kwa malezi ya mtoto wa kiume ni kumeharibika sana, Tanzania naona bado wanafanya kwa siri ila kule mambo ni hadharani na wenyeji wanaona kawaida tu.
Unaleta chai kama ile story yako ya irini
 
5. South wamebarikiwa kwa Pisi kali sana.

Kwa mliofika kule nadhani hapa tutakuwa pamoja, wenzetu kwa pisi wamebarikiwa sana, yaani kama utakwenda maeneo ya starehe na wewe ni Fisi kuzungusha shingo na macho ni kitu cha kawaida. Jambo lingine la kushangaza pisi za kule sio choyo kabisa na asilimia kubwa ya wenyeji wana hit for free. Kama unaishi kwenye apartment ina pisi za kisouth kuzila ni kitu cha kawaida na ukiwa ndani una wifi, Netflix, utazila mpaka uchoke.

Mnasema mademu wa kibongo wanapenda kitonga? bhasi kwa madem wa south hata theluthi hawafikii, ukiwa na gari kabisa utakula mpaka ukinai. Ukiingia kwenye clubs nk kama unahela pisi yoyote unaondoka nayo na kule utasikia nataka Rand, na bei zao zina range kutoka Rand 100-2,000 inategemea na mwanamke na maeneo. Kama unapesa ukitaka hizi three some, 4 some unapata haraka bila shida, wakati kwa bongo ni ngumu sana. Mademu wa kule asilimia kubwa hawajatulia na ni malaya sana, na sio wachoyo ila asilimia kubwa wameungua, kuweni makini sana.
Nzuri..
Ila tatizo ni kuponza shingo ukikutwa
 
Ni Msanzi sio Mzansi
Screenshot_20231125-233025_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom