Hivi kwanini TANZANIA ma'handsome' wachache?

Hivi kwanini TANZANIA ma'handsome' wachache?

I hope your father (if he is a Tanzanian) is among the few handsome! If not.....radhi inakuita wewe!
 
Ngoja nikamuulize babu!!! Kwa sababu na hiyo yako ya mkorogo kwa kuwa una pesa ni ya muda tu.
 
dah nimecheka sana baadhi ya maoni ya wadau,lakini mbona wengi wanalalamika? Je ni kweli madai ya mleta mada ma handsome ni wachache? ni kiasi cha kuambiwa wapo wengi au wachache,halafu ndo aambiwe kwamba hilo si jambo muhimu sana.Ukifanya utafiti mdogo kwa waliochangia waweza kujua ni handsome au la Kwa (wanaume) ikwa mabinti waliochangia pia utajua kupitia michango yao kwamba waume zao/boyfriend ni handsome au
ni maoni yangu tu
 
nawewe ni handsome? mbona unajaji wachangiaji tuu!
 
mwanaume hasifiwi sura,
mwanaume hasifiwi kula,
mwanaume hasifiwi kuoga na kupaka mafuta,
mmemuona jk mlomsifia kuwa mmepata rais handsome, mtanashati, mwenyemvuto, wa kuchekacheka ... yamewatokea puani
mwanaume kazi bana, mwanaume kitandani, mwanaume wallet yaani mfuko, mwanaume maamuzi, mwanaume msimamo

Da!! Una akili we jamaa!!
 
hizi Tamthilia za akina isabela, salvado, ricardo,pacheco, Pacco na shule za boding tunazowapeleka watoto wakiwa bado wadogo zinatuharibia sana watoto, wazazi wa sasa hivi inabidi tubadilike sana kwenye malezi ya watoto wetu hasa wakiume la sivyo tutajikuta wanaume tumebaki wa mbegu tu. mi inanisikitisha sana japo nina watoto wa kike tu lakini bado hanifanyi niache kutetea malezi bora ya watoto wa kieume. agenda ya malezi ya watoto wetu hasa wakiume inabidi iwe endelevu. ntarudi.
Kazi kwelikweli, ila nasikia hapa mujini kuna tycoon mmoja anakula mahendisamu kama hana wa kiume tena anakupeleka landani ukurudi una fuso. Anza kufanya mazoezi ya 0713 lol
 
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie
We lazima utakuwa unatokea Kusini, so usi Generalize kwa kuona sample ya wanaume wa Kimakonde na Ki Mawiya (wala watu) tu
 
wabaya ndio wenye bamia kubwa,na ndio wanaoweza kazi 'match inaenda dk 90' bila half time!!!!!km unataka usharobaro k2 nusu goli!!!

Wana demonstrate uwezo wao kwa vitendo, ni sawa na kazini kuna ambao walikuwa mabingwa wa kufaulu mitiani kuna ambao wamejisahau wakiamini A zao ni bora kuliko kazi wakati wale wa kawaida wanakomaa kuonyesha nao wanaweza
 
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie
It means including your father
 
utakuwa na kengeza wewe...
Nakupa assignment...cheki bungeni uone mahandsome walivyojaa..
1*hensem pinda
2*henseim wassira
3*handsome mrema
4*hendisamu cheyo n et'al... ubarinolutu
 
Last edited by a moderator:
mwanaume anaweza kuwa mzuri bt mambo hayawez,akawa hatumii akili ktk mambo anayoyafanya mwanaume kichwani anatakiwa awe vzur bwana hekima na busara ndo uhandsome wa mwanaume.
 
Tupo weeengi....

hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza ushoga. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie
 
kwani wewe umetembea tanzania nzima...?ilibidi uitwe sura mbaya...na wewe
 
Yani hata mi naskitika tuko wachache kweli mahandsome!! Chama chetu cha mahandsome tumefanya audition kupata watu lakn kila wanaokuja hawakidh vigezo *heheh*

kama vigezo vp ?,mayb naweza kuja kwani hata mi n handsom.
 
mwanaume anaweza kuwa mzuri bt mambo hayawez,akawa hatumii akili ktk mambo anayoyafanya mwanaume kichwani anatakiwa awe vzur bwana hekima na busara ndo uhandsome wa mwanaume.
Like it
Big up Mkuu.
 
Back
Top Bottom