Hivi kwanini Mungu ana wivu?

Hivi kwanini Mungu ana wivu?

What is akili? Hilo unalijua wewe binadamu uliyeprogramiwa na kuwekewa! Hilo lipo kwenye dimensions zako.Unajua options zingine zilizopo? Kaa kwa kutulia, huwezi kuhoji mapana ya Mungu.
Hapa tupo tunahoji mapana ya mungu au unazungumzia mapana gani?
 
Unakuta mtu hata ukimwambia aumbe kifaranga cha kuku hawezi 😄 au hata kufika kwenye nyota ya karibu kabisa hajawahi! Alafu anajiona ana akili za kuhoji uwepo wake au mhusika aliyeweka 😄
 
Mungu wa kwenye biblia na Quran hayupo, laiti kama angekuwepo asingekuwa na madhaifu makubwa kiasi hicho.

Huo mnara kabla haujajengwa, Mungu ajuae kesho yetu na ajuae kila kitu kuhusu sisi angeshatambua mawazo ya binadamu kutaka kujenga mnara na angesitisha hilo zoezi mapema.

Huyo shetani ambae alimdanganya adam na hawa kula tunda, angeshamuua zamani sana, Mungu muweza wa yote, mwenye upendo wote asingeruhusu tuishi na shetani wakati anajua shetani ana nguvu kuliko sisi.
Wewe akili zako zimekuwezesha kutengeneza uhai hata wa kifaranga cha kuku? Hizo nyota unazoziona kila siku umeshawahi hata kuisogelea nyota ya karibu zaidi? Kwa hiyo kwa akili zako hizo unamhoji aliyeset na kuweka hiyo mifumo?
 
Ulimwengu wa fact unatumia logic na kanuni za kisayansi, ambazo zinakataa uwepo wa mungu.
Ulimwengu wa roho hautumii fact na logic za kisayansi. Unatumia fikra, hisia na mambo yasiyoweza thibitishwa kwa kutumia logic.

Kuna logic ya maria kupata ujauzito bila mbegu za mwanaume? Ndo maana nakuambia FIKIRI. Ukifikiri hutotutumia nguvu na kamwe hutojadili kuhusu uwepo wa MUNGU nje ya masuala ya imani.
 
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Mungu wa kwenye Biblia na maandiko yote ya kidini ni Fictional character sawa na Abunuwasi wa kwenye Hekaya.

Mungu ana ongelewa na binadamu kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe..
Wewe akili zako zimekuwezesha kutengeneza uhai hata wa kifaranga cha kuku? Hizo nyota unazoziona kila siku umeshawahi hata kuisogelea nyota ya karibu zaidi? Kwa hiyo kwa akili zako hizo unamhoji aliyeset na kuweka hiyo mifumo? Kwamba aje kwako ajiongeleshe ili ujue kwamba yupo?
 
"Jibu ni roho ni MUNGU, nao wamuabudio wamuabudu katika roho."

Sentensi kama hiyo ukiielewa hutateseka na kuhoji uwepo wa MUNGU kwa waamini. Imejitosheleza.

Huwezi ona roho, huwezi gusa roho, huwezi thibitisha uwepo wa roho katika ulimwengu nje ya ulimwengu wa kiroho au ulimwengu wa kisayansi. Ili umuelewe MUNGU lazima uhame kwenye ulimwengu wa fact.
Kwa hiyo hujui roho ni nini, Asante. Halafu hivi kumbe Kuna ulimwengu mwingine nje ya huu tunaojua wote! Ulimwengu wa kiroho ndio upi Tena?
 
Wewe akili zako zimekuwezesha kutengeneza uhai hata wa kifaranga cha kuku? Hizo nyota unazoziona kila siku umeshawahi hata kuisogelea nyota ya karibu zaidi? Kwa hiyo kwa akili zako hizo unamhoji aliyeset na kuweka hiyo mifumo? Kwamba aje kwako ajiongeleshe ili ujue kwamba yupo?
Aliyeset hayo nae kawekwa na nani?
 
Niki kwambia mimi Infropreneur ni Mungu halisi na hakuna mwingine utakubali?

Utakuwa na uthibitisho wa uwepo wa Mungu wako unayesema yupo, uje naye au umwambie aje ani prove wrong kwamba mimi infropreneur sio Mungu, yeye ndio Mungu?

Ataweza kuja?
Aisee, sawa basi ebu anza na kuumba hata kifaranga cha kuku 😄
 
Kwa hiyo hujui roho ni nini, Asante. Halafu hivi kumbe Kuna ulimwengu mwingine nje ya huu tunaojua wote! Ulimwengu wa kiroho ndio upi Tena?
Roho ni MUNGU. na nimekupa na sifa za roho. Sasa jiongeze boss.

Ulimwengu wa kiroho ni makazi ya mambo yote ya kifikra, mambo ambayo huwezi tumia fact kuyaelezea. Mambo ambayo huwezi yathibitisha kisayansi.
 
Sifa za roho? Unanipaje sifa za roho wakati we mwenyewe umesema ni fikra tu! Ulimwengu wa fikra mana yake inawezekana usiwepo kabisa ama haujawahi kuwepo. Si ndio?
 
Akili zako no za kibinadamu kwa hiyo utahoji lakini kwa akili za kibinadamu ambayo majibi yake hata ukipewa hautokaa uelewe kwa sababu ni akili za Kimungu
Sasa wewe umeyajuaje wakati wewe pia una ufaham na akili za kibinadam tu. Tena unapambania kabisa kama vile una uhakika
 
Sifa za roho? Unanipaje sifa za roho wakati we mwenyewe umesema ni fikra tu! Ulimwengu wa fikra mana yake inawezekana usiwepo kabisa ama haujawahi kuwepo. Si ndio?
Kutokuwepo ni nini? Unaposema kisiwepo unamaanisha nini? Nadhani tatizo lipo hapa kwenye tafsiri ya kuwepo na kutokuwepo. Tuanzie hapa. Ni nini maana ya kutokuwepo?
 
"Ujue wivu ndo Mapenz" Simba la Masimba Dangotr once said.

Na hilo ndo jibu sahih, yeyote anaekupenda atakua na wivu juu yako atataman umpende yeye pekeake dhidi ya wapinzani wake.
 
Back
Top Bottom