min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,594
Mungu ni mwoga na mnyonge sana.Kutoka 20:5
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao
MUNGU ANATUPENDA SANA KIASI KWAMBA AMETUANDALIA MOTO WA MILELE KAMA HATUTA MPENDA NA YEYE 😂
Mungu ANATULAZIMISHA tumpende na kumtii