Hivi kwanini Mungu ana wivu?

Hivi kwanini Mungu ana wivu?

Mungu wa kwenye biblia na Quran hayupo, laiti kama angekuwepo asingekuwa na madhaifu makubwa kiasi hicho.

Huo mnara kabla haujajengwa, Mungu ajuae kesho yetu na ajuae kila kitu kuhusu sisi angeshatambua mawazo ya binadamu kutaka kujenga mnara na angesitisha hilo zoezi mapema.

Huyo shetani ambae alimdanganya adam na hawa kula tunda, angeshamuua zamani sana, Mungu muweza wa yote, mwenye upendo wote asingeruhusu tuishi na shetani wakati anajua shetani ana nguvu kuliko sisi.
Wewe mwenyewe hapo hauna akili! Kama unabisha thibitìsha 😄
 
Kwa sababu Mungu hayupo na waliotunga hizo story ni wanadamu wenye tabia za ovyo kama wivu ,hasira na kupanic kirahisi, wakazieleza hizo tabia zao za ovyo kuwa ndio za Mungu.
Hao wanadamu waliotunga wametoka wapi?
 
Mungu wa kwenye biblia na Quran hayupo, laiti kama angekuwepo asingekuwa na madhaifu makubwa kiasi hicho.

Huo mnara kabla haujajengwa, Mungu ajuae kesho yetu na ajuae kila kitu kuhusu sisi angeshatambua mawazo ya binadamu kutaka kujenga mnara na angesitisha hilo zoezi mapema.

Huyo shetani ambae alimdanganya adam na hawa kula tunda, angeshamuua zamani sana, Mungu muweza wa yote, mwenye upendo wote asingeruhusu tuishi na shetani wakati anajua shetani ana nguvu kuliko sisi.Mbona
Mungu wa kwenye biblia na Quran hayupo, laiti kama angekuwepo asingekuwa na madhaifu makubwa kiasi hicho.

Huo mnara kabla haujajengwa, Mungu ajuae kesho yetu na ajuae kila kitu kuhusu sisi angeshatambua mawazo ya binadamu kutaka kujenga mnara na angesitisha hilo zoezi mapema.

Huyo shetani ambae alimdanganya adam na hawa kula tunda, angeshamuua zamani sana, Mungu muweza wa yote, mwenye upendo wote asingeruhusu tuishi na shetani wakati anajua shetani ana nguvu kuliko sisi.
Unaji contradict mwenyewe kama umesema ni muweza wa yote ndo mana amefanya pia na hilo ambalo wewe unalitoa kwenye uweza wake..Unamuiga Kiranga halafu kichwani una brain tumor?
You’re just an imposter.

Unaji contradict mwenyewe kama umesema ni muweza wa yote kwanini unaweka limit afanye tu unayotaka wewe au hujui maana ya dhana ya muweza wa yote?

Una Brain tumor wewe sio bure.
 
Sawa ila inaonesha huna uhakika na majibu yako, kama kweli toa reason yenye kuwa na ushawishi.
Niki kwambia mimi Infropreneur ni Mungu halisi na hakuna mwingine utakubali?

Utakuwa na uthibitisho wa uwepo wa Mungu wako unayesema yupo, uje naye au umwambie aje ani prove wrong kwamba mimi infropreneur sio Mungu, yeye ndio Mungu?

Ataweza kuja?
 
nashangaa sana bibilia inavyomuelezea mungu as if binadamu utakuta andiko linasema upon wapi wewe adamu,na adamu akaitika niko hapa mungu wangu.

mda mwengine wanasema mungu alikuwa anatembelea bustani...this is human behaviours
Kiongozi nimeshakusisitiza unapotumia neno Mungu kama unarefer Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo basi anza na capital letter M au tumia capital letter MUNGU
 
Unataka uthibitisho wa kitu ambacho hakipo?

Labda unataka uthibitisho wa namna gani?

Maana kitu chenyewe unachotaka nikupe uthibitisho hakipo.

Kisichokuwepo hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kwamba kipo.

Una elewa hilo?
Hitimisho lako ni kuwa hakipo nikumaanisha umethibitisha hakipo, kushindwa kuthibitisha absent yake ni kumaanisha hujui, ni heri ungesema bado sijaikubali knowledge inayoongelea uwepo wa Mungu ningekuelewa ila wewe umesema hayupo hapo nikumaanisha uneshafanya research za kutosha kuthibitisha kauli yako, hivyo nithibitishie kulingana na research zako.

Mimi nakuthibitishia kulingana na maandiko ya biblia pili kukingana theory ya bing bang (time, space, matter and energy) naongelea energy.
 
Niki kwambia mimi Infropreneur ni Mungu halisi na hakuna mwingine utakubali?

Utakuwa na uthibitisho wa uwepo wa Mungu wako unayesema yupo, uje naye au umwambie aje ani prove wrong kwamba mimi infropreneur sio Mungu, yeye ndio Mungu?

Ataweza kuja?
Wewe mwenyewe hauna akili! Kama unahisha njoo nazo ukiwa umezibeba 😄
 
Hitimisho lako ni kuwa hakipo nikumaanisha umethibitisha hakipo, kushindwa kuthibitisha absent yake ni kumaanisha hujui, ni heri ungesema bado sijaikubali knowledge inayoongelea uwepo wa Mungu ningekuelewa ila wewe umesema hayupo hapo nikumaanisha uneshafanya research za kutosha kuthibitisha kauli yako, hivyo nithibitishie kulingana na research zako.

Mimi nakuthibitishia kulingana na maandiko ya biblia pili kukingana theory ya bing bang (time, space, matter and energy) naongelea energy.
Kwanza tuanze, Mungu ni nini?
 
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Mungu wa kwenye Biblia na maandiko yote ya kidini ni Fictional character sawa na Abunuwasi wa kwenye Hekaya.

Mungu ana ongelewa na binadamu kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe..
Haujawahi kuwa na akili na hata busara pia hauna!kama unabisha onyesha
 
Hitimisho lako ni kuwa hakipo nikumaanisha umethibitisha hakipo, kushindwa kuthibitisha absent yake ni kumaanisha hujui, ni heri ungesema bado sijaikubali knowledge inayoongelea uwepo wa Mungu ningekuelewa ila wewe umesema hayupo hapo nikumaanisha uneshafanya research za kutosha kuthibitisha kauli yako, hivyo nithibitishie kulingana na research zako.

Mimi nakuthibitishia kulingana na maandiko ya biblia pili kukingana theory ya bing bang (time, space, matter and energy) naongelea energy.
Hahahah Kitu kisichokuwepo Unawezaje kuthibitisha kama Hakipo😅😅

Nimefurahi Conversation yenu Ndo maana nimetia Neno tu..

Kisayansi kuthibitisha kama kipo au hakipo lazma kuwepo kwanza kitu kinachofanana na hicho ili ukifananishe..

kwa mfano unaweza kusema "Mimi sina macho" kwa sababu Umewahi kuyaona Macho au kuyasikia macho..

Ni Vigumu kumwambia Kipofu Athibishe kwa kuelezea tifauti Kati ya Basi na Coaster.. (Kwa sababu hajawahi kuviona)..

Naweka sawa kwamba nimependa Conversation Yenu kuhusu Uthibitisho wa kitu Kisichokuwepo..
Ila....

"I mean no malice toward anybody."
 
Hitimisho lako ni kuwa hakipo nikumaanisha umethibitisha hakipo, kushindwa kuthibitisha absent yake ni kumaanisha hujui, ni heri ungesema bado sijaikubali knowledge inayoongelea uwepo wa Mungu ningekuelewa ila wewe umesema hayupo hapo nikumaanisha uneshafanya research za kutosha kuthibitisha kauli yako, hivyo nithibitishie kulingana na research zako.

Mimi nakuthibitishia kulingana na maandiko ya biblia pili kukingana theory ya bing bang (time, space, matter and energy) naongelea energy.
Anarukaruka tu kama Paka mgonjwa. Hahaha!!
 
Back
Top Bottom