min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,702
- 131,845
Hayo ni maneno ya kiimani tu ,ila sawa farijianeni kwa maneno hayo.Yeye ni Alfa na Omega
Hayo ni maneno ya kiimani tu ,ila sawa farijianeni kwa maneno hayo.Yeye ni Alfa na Omega
Vizuri sana Najua Historia ya Dunia!Historia unaijua lakini?
REASON,the action of thinking about something in a logical, sensible way.Upeo ni kujua kutofautisha mambo, ebu kuwa kama DR Mambo Jambo. Kama una hoja itoe acha bla bla.
Hicho unachokiwaza kwa akili zako ndogo hakifikii hata robo ya robo ya robo ya robo ya akili za Mungu. Cha msingi amka hapo ulipolala jinyooshe kakojoe ulale na kujamba. Maana akili za Mungu hazichunguziki kama unavyofikiria wewe hapo kitandani.Wataalamu wa bibilia, nakumbuka kuna siku nilisoma hicho kitabu nikaona historia ya mnara wa babeli Mungu aliposhuka na kuwakuta binadamu wanatengeza ule mnara alishtuka na kuwatenganisha kwa lugha pamoja na maeneo ndiyo yakazaliwa mataifa mengine.
Tukio la pili kwenye sura ya mwanzo Mungu baada ya adamu kula ule mti ambao alikatazwa inaonekana ibilisi alikuwa anajua siri ya mti huo wa uzima japo hakuufahamu haswa ni upi ila baada ya Mungu kuona binadamu na jeshi lake watapanga kuutafuta ndiyo akauficha, nimesahau exactly ni wapi.
Case ya tatu, baada ya kuwatoa Wanaisraeli kupitia Mtume wake Musa aliwaambia kuwa yeye ni Mungu mkuu na anawivu hivyo wasiabudu mwengine isipoikuwa yeye.
Je, kwa kauli ya kusema kuna miungu mengine anafahamu kuwa kuna nguvu nyengine tofauti na yeye?
Je, hajiamini na nguvu zake?
Je, Mungu huyu ni tunayemuabudia wakristo na waislamu?
Je, ni binadamu wa mwanzo ambaye aliwahi kutambua siri za ulimwengu na akajitahidi kuzificha na hatimaye akajitolea taji la uungu?
Nawasilisha.
kwani mungu nae ni binadamu?Hicho unachokiwaza kwa akili zako ndogo hakifikii hata robo ya robo ya robo ya robo ya akili za Mungu. Cha msingi amka hapo ulipolala jinyooshe kakojoe ulale na kujamba. Maana akili za Mungu hazichunguziki kama unavyofikiria wewe hapo kitandani.
Who is wakristo and who is waislamu?Je huyu ndiye Mungu mmoja wa Wakristo na Waislamu??
Alfa na Omega ni Herufi za Kigiriki Alfa ni A kwa kiebrania na Kiarabu Alif na Omega Ni Z au Kwa kiebrania ni Chet (Kutamkwa Kheti)..Hayo ni maneno ya kiimani tu ,ila sawa farijianeni kwa maneno hayo.
Ni nani?Mungu ni nani?
Fictional ni dhana au jambo la kufikirika halipo katika uhalisia ila katika mawazo ya kufikirika.
Nimekuuliza chanzo cha mtu ni nini? Hujanijibu.Sifa gani na tabia zipi?
What is Nomino dhahania? Ipo katika dimension za akili za kibinadamu au za Kimungu?Ulisoma nomino dhahania kwenye somo la kiswahili?
What is imani?Hayo ni maneno ya kiimani tu ,ila sawa farijianeni kwa maneno hayo.
Ukishasema MUNGU ni...............Umejibu kwa akili sana , japo haujawaambia ukwel vijana kuwa Mungu ni nadharia tu.
Ndio maana nasema huyo Mungu yupo kwenye mawazo yenu ya kufikirika tu.Nakuuliza kwa sababu concept ya MUNGU ni concept ya kiimani, kifikra, kimawazo, kiroho. Ukishasema MUNGU umegusa moja kwa moja imani, fikra, mawazo, spiritual being. Huwa sielewi concept ya kuprove uwepo wa MUNGU nje ya mambo ya kiroho.
Kwa hiyo ibrahim source ya uumbwaji wake ni ndege na waafrika source ya uumbwaji wetu ni samaki?Vizuri sana Najua Historia ya Dunia!
Science history..
Churches History (Na hii Nimeifanyia Mtihani na nilipata A Course hii)...
Na hata Historia kwa kufuata Miaka na Simulizi za kibiblia..
Na baadhi ya Historia kutoka Uhindu,Uislam,Uchinani,na hata Uarabu kabla ya Mtume..
Sasa sijajua Ulikuwa umelenga upande gani kuilixa hilo swali
Talanta ya ubishi na ujuaji huwa sina mkuu, ok turidi kwenye mada.REASON,the action of thinking about something in a logical, sensible way.
LOGIC is a science that deals with the principles and criteria of validity
usitafute msaada kwa dr mambo jambo
Mkuu Mungu mtu fulani ivi mwenye hasira na kiburi , wivu,ubaguzi , wa jamii yake anayodai ni yeye kaiumba then ana shindwa kuwafanya wamtii bila kutumia maguvu hasira na msamaha.Ni nani?
Kwamba unataka awe mtu au kiumbe fulani?
Hili swali lako linafaa liwe Mungu ni nini?
Mungu ni neno la kufikirika tu ambalo kiuhalisia halipo.
Sorry kwa Hili swali..Kwa hiyo ibrahim source ya uumbwaji wake ni ndege na waafrika source ya uumbwaji wetu ni samaki?