rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,654
- 9,110
Ukishaweka neno lazima kuwe na source ya binadam basi ni lazima uiweke pia hiyo source kwa munguNaona bado haunielewi. Ebu tuliza akili yako na usije kwa lengo la kubishana bali kujifunza. Haihitaji akili za kimungu kujua na kutambua kwamba hatukujiumba tu wenyewe au we just existed from nowhere! Lazima kulikuwa na source.Hilo halihitaji akili za ziada lipo katika frame ya kibinadamu na muhimu zaidi yeye aliyeziprogram akili zetu aliweka hilo kwa makusudi!. Kuthibitisha hilo wala halihitaji nguvu kubwa! Uwepo wako na ulimwengu unatosha kuthibitisha hilo!