Hivi kwanini Mungu ana wivu?

Hivi kwanini Mungu ana wivu?

Bro mbona maneno mengi nmeuliza roho ni nini, kama una jibu nipe kama hauna pia sema
Wenye imani yao wanakwambia MUNGU ni roho, wewe hujui roho ni nini, hapo hapo unasema MUNGU hayupo. Fikiria boss. Mambo mepesi haya ukifikiri.
 
Kujifunza ni nini?

Naku uliza hivi, Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na source yake.

Source ya Mungu ni nini?

Kwa nini umu exclude Mungu kwenye kuwa na source?

Huyo Mungu aliwezaje kuwepo from no where?

Dunia haikuumbwa.

Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Kama haiwezekani dunia kuwepo yenyewe tu, Hata Mungu huyo haiwezekani awepo mwenyewe tu from nothing.

Otherwise, Si lazima kwamba tuliumbwa.

Kama ulazima huo upo, hata huyo Mungu lazima awe ameumbwa.
Unahoji hivyo kama nani?
 
Nimekwambia haihitaji akili za Kimungu nikimaanisha hata kwa akili yako yako ta kibinadamu unaweza kutambua hilo kwa kuwa lipo katika dimension yako! Sasa unapouliza kuhusu Mungu hiyo ni dimension tofauti ambayo kwa akili zangu haiwezi kuwa na majibu.
Nakuambia hivi hakuna Mungu ,kama yupo thibitisha na hiyo dimension unayoijua wwe huyo Mungu yupo, umeijuaje kama akili zako hazina majibu?
 
Umesema mtu ni mnyama, mimi nasema ni kweli lakini mnyama hawezi kuwa mtu.

Kwa mtazamo wangu kinachomtofautisha mtu na wanayama/mimea ni maono(vision). Mtu anaongozwa na maono ila mnyama anaongozwa na hisia za ufahamu(instinct).
Una uthibitisho gani na hili kwamba binadamu ana maono na mnyama hana? Kuhusu hisia, hakuna kiumbe hai kisichotumia hisia.
 
Sio kila ambacho huwezi kukithibitisha kwa elimu yako ndogo ndio ukane uwepo wake.
Mungu muweza wa yote alie shindwa kuseti binadamu asimkosee , aliyeshindwa kuweka usawa kwa vitu alivyoviumba mwenyewe ,then vikienda tofauti ana kasirika na kuwa na wivu na kupaniki, Mungu huyo wala haihitaji akili hata ya panya kuthibitisha kwamba hayupo.
 
Una uthibitisho gani na hili kwamba binadamu ana maono na mnyama hana? Kuhusu hisia, hakuna kiumbe hai kisichotumia hisia.
Kila kiumbe kina maono kulingana na mazingira yake, hakuna kiumbe bora kuliko kingne wala hakuna kiumbe kinachotawala mwingne bali viumbe vyote vinategemeana.
 
Nakuambia hivi hakuna Mungu ,kama yupo thibitisha na hiyo dimension unayoijua wwe huyo Mungu yupo, umeijuaje kama akili zako hazina majibu?
Na mimi nikakujibu hauna akili kama unazo thibitisha! Nani kasema akili yangu haina majibu! Akili yangu ina majibu kwamba yupo na ndiye aliyegawanya bahari ya sham waisraeli wakavuka, Ndiye aliyezungumza na Musa pale mlimani, na ndiye aliyeprogram akili zangu zitambue uwepo wake! Sasa unapouliza nihoji kuhusu akili zake ni sawa na wewe utengeneze toy uifungie chumbani alafu toy ijaribu kuhoji kuhusu akili yako!
 
Bado hujajibu swali chief
"Jibu ni roho ni MUNGU, nao wamuabudio wamuabudu katika roho."

Sentensi kama hiyo ukiielewa hutateseka na kuhoji uwepo wa MUNGU kwa waamini. Imejitosheleza.

Huwezi ona roho, huwezi gusa roho, huwezi thibitisha uwepo wa roho katika ulimwengu nje ya ulimwengu wa kiroho au ulimwengu wa kisayansi. Ili umuelewe MUNGU lazima uhame kwenye ulimwengu wa fact.
 
Hayo ni mahubiri kutokea kitabu uchwara. Hayana ukweli wowote, kama unakataa thibitisha huo ukweli.
 
Now dayz kumekuwa na aliens wengi sana wanaotembea kama binadam tumesoma nao tunaish nao pia wengine tuna zaa nao na wengi humu hawajijui kama wao ni zao la aliens cos wakijianglia wanajiona binadam kumbe sio

Utawajua kwa tabia na matukio Ru
1..wanapinga uwepo wa Mungu
2..wanapenda kushindana na binadamu
3..hujifanya wajuaji
4..wanaasiraaa na wivu
5..wachafu kwenye ngono)bisexual
 
"Jibu ni roho ni MUNGU, nao wamuabudio wamuabudu katika roho."

Sentensi kama hiyo ukiielewa hutateseka na kuhoji uwepo wa MUNGU kwa waamini. Imejitosheleza.

Huwezi ona roho, huwezi gusa roho, huwezi thibitisha uwepo wa roho katika ulimwengu nje ya ulimwengu wa kiroho au ulimwengu wa kisayansi. Ili umuelewe MUNGU lazima uhame kwenye ulimwengu wa fact.
Ulimwengu wa fact unatumia logic na kanuni za kisayansi, ambazo zinakataa uwepo wa mungu. Hizo fact za uwepo wa mungu unazozisema hebu zilete.
 
Now dayz kumekuwa na aliens wengi sana wanaotembea kama binadam tumesoma nao tunaish nao pia wengine tuna zaa nao na wengi humu hawajijui kama wao ni zao la aliens cos wakijianglia wanajiona binadam kumbe sio

Utawajua kwa tabia na matukio Ru
1..wanapinga uwepo wa Mungu
2..wanapenda kushindana na binadamu
3..hujifanya wajuaji
4..wanaasiraaa na wivu
5..wachafu kwenye ngono)bisexual
yako hayo sasa
 
Na mimi nikakujibu hauna akili kama unazo thibitisha! Nani kasema akili yangu haina majibu! Akili yangu ina majibu kwamba yupo na ndiye aliyegawanya bahari ya sham waisraeli wakavuka, Ndiye aliyezungumza na Musa pale mlimani, na ndiye aliyeprogram akili zangu zitambue uwepo wake! Sasa unapouliza nihoji kuhusu akili zake ni sawa na wewe utengeneze toy uifungie chumbani alafu toy ijaribu kuhoji kuhusu akili yako!
Unaamini usicho kijua na ambacho hakipo , ila mkuu sio mbaya kwa sababu ni haki yako kuamini chochote wewe toy wa Mungu.
 
Back
Top Bottom