rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,653
- 9,103
Kinyume Cha kuwepoKutokuwepo ni nini? Unaposema kisiwepo unamaanisha nini? Nadhani tatizo lipo hapa kwenye tafsiri ya kuwepo na kutokuwepo. Tuanzie hapa. Ni nini maana ya kutokuwepo?
Kinyume Cha kuwepoKutokuwepo ni nini? Unaposema kisiwepo unamaanisha nini? Nadhani tatizo lipo hapa kwenye tafsiri ya kuwepo na kutokuwepo. Tuanzie hapa. Ni nini maana ya kutokuwepo?
Kwa hiyo bacteria hawakuwepo mpaka walivyogundulika ndiyo wakaanza kuwepo? 😄Huyu Mungu anaesubiria mpka sayansi imvumbue ana tofauti gani na baadhi ya bacteria?
Swali ni una uhakika gani au unathibitisha vipi madai yako ayo? Nyota zimewekwa/zimesetiwa?Wewe akili zako zimekuwezesha kutengeneza uhai hata wa kifaranga cha kuku? Hizo nyota unazoziona kila siku umeshawahi hata kuisogelea nyota ya karibu zaidi? Kwa hiyo kwa akili zako hizo unamhoji aliyeset na kuweka hiyo mifumo?
OK, sifa za kuwepo ni matokeo, Yaani uwepo wako utagusa mwingine kimawazo, kiutendaji, kihisia n.k. Ili tuseme upo lazima kuwe na matokeo ya uwepo wako either kiutendaji, kifikra au kihisia na hayo matokeo yatagusa uwepo wa mtu/vitu vingine. Sahihi?Kinyume Cha kuwepo
Kwa hiyo zimefanywaje pale zilipo? Au nazo hazipo? 😄S
Swali ni una uhakika gani au unathibitisha vipi madai yako ayo? Nyota zimewekwa/zimesetiwa?
Unajua wewe ni kama mjinga ambaye yupo shimoni unaambiwa kule juu hauwezi kufika sehemu yetu ni huku, alafu unaanza kufoka "wewe umejuaje kama kule hakufikiki, umejuaje kama hapa tupo shimoni" khaa! Sasa unauliza wakati unaona kwamba upo shimoni! Akili na ufahamu wa kibinadamu ndiyo unaokufahamisha kwamba wewe utabaki kuwa mwanadamu na kamwe akili zako haziwezi kulingana na Mungu. Usilazimishe akili zako kuchunguza akili za Mungu.Sasa wewe umeyajuaje wakati wewe pia una ufaham na akili za kibinadam tu. Tena unapambania kabisa kama vile una uhakika
Nazungumzia Akili za Mungu na utendaji wakeHapa tupo tunahoji mapana ya mungu au unazungumzia mapana gani?
Umeelewa nilikua namanisha nini lakini?Kwa hiyo bacteria hawakuwepo mpaka walivyogundulika ndiyo wakaanza kuwepo? 😄
Kwa hiyo oksijeni ndio Mungu?Hiyo oksijeni tu unayovuta ni kithibitisho tosha!
Mbona tunapangiana kwamba naamini nisichokijua! Namjua Mungu lakini natambua akili zake hazichunguziki! Usipende kuforce mambo, kama hauelewi jambo tulia uelekezwe ujifunze na mwisho wa siku ukubali na uongeze hekima.Unaamini usicho kijua na ambacho hakipo , ila mkuu sio mbaya kwa sababu ni haki yako kuamini chochote wewe toy wa Mungu.
Mungu hayupo mkuu.Wataalamu wa bibilia, nakumbuka kuna siku nilisoma hicho kitabu nikaona historia ya mnara wa babeli Mungu aliposhuka na kuwakuta binadamu wanatengeza ule mnara alishtuka na kuwatenganisha kwa lugha pamoja na maeneo ndiyo yakazaliwa mataifa mengine.
Tukio la pili kwenye sura ya mwanzo Mungu baada ya adamu kula ule mti ambao alikatazwa inaonekana ibilisi alikuwa anajua siri ya mti huo wa uzima japo hakuufahamu haswa ni upi ila baada ya Mungu kuona binadamu na jeshi lake watapanga kuutafuta ndiyo akauficha, nimesahau exactly ni wapi.
Case ya tatu, baada ya kuwatoa Wanaisraeli kupitia Mtume wake Musa aliwaambia kuwa yeye ni Mungu mkuu na anawivu hivyo wasiabudu mwengine isipoikuwa yeye.
Je, kwa kauli ya kusema kuna miungu mengine anafahamu kuwa kuna nguvu nyengine tofauti na yeye?
Je, hajiamini na nguvu zake?
Je, Mungu huyu ni tunayemuabudia wakristo na waislamu?
Je, ni binadamu wa mwanzo ambaye aliwahi kutambua siri za ulimwengu na akajitahidi kuzificha na hatimaye akajitolea taji la uungu?
Nawasilisha.
sawa kakaMungu hayupo mkuu.
Hizo ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Wewe mwenyewe hauna akili wala haujawahi kuwa nayo! Hizo ni hadithi tu za watuMungu hayupo mkuu.
Hizo ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Chanzo cha uhai wako ni nini?Kwa hiyo oksijeni ndio Mungu?
Alie kupangia ni nani ? Amini unacho amini ni haki yako kikatiba, ila wewe na wenzako hakuna mtakacho nifundisha kuhusu hizo hadithi za abunuasi mpka siku nakufa.Mbona tunapangiana kwamba naamini nisichokijua! Namjua Mungu lakini natambua akili zake hazichunguziki! Usipende kuforce mambo, kama hauelewi jambo tulia uelekezwe ujifunze na mwisho wa siku ukubali na uongeze hekima.
Kila kitu kinacho nizunguka, yaani dunia na vyote vilivyomoChanzo cha uhai wako ni nini?
Mungu ni akili ?Wewe mwenyewe hauna akili wala haujawahi kuwa nayo! Hizo ni hadithi tu za watu
Chanzo cha hayo yotè ni nini?Kila kitu kinacho nizunguka, yaani dunia na vyote vilivyomo