Hivi kwanini Kibaha isiwe Dar es Salaam?

Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?

Maana naona kutoka Kibaha mpaka Mbezi Magufuli ni karibu kuliko kutoka Kariakoo mpaka Mbezi Magufuli, ambapo ndio kituo kikubwa cha mabasi Tanzania. Aisee, namuomba Rais wetu Samia aipanue Dar es Salaam kwa kuchukua ardhi ya Kibaha, maana hata daladala zinapandisha nauli kila siku kwa kigezo cha Kibaha kuwa mkoa mwingine, wakati unakuta umbali ni mdogo tu.
Gentleman,
kibaha, mkuranga na kisarawe vitaendelea kua sehemu ya mkoa wa Pwani kimkakakati ili kusogeza huduma za kijamii karibu zaidi na wananchi na kupunguza msongamano wa wananchi ndani ya jiji la Dar es salaam, lakini pia kuchochea na kuongeza shughuli na fursa za kiuchumi maeneo hayo na kupanua zaidi mkoa wa Pwani uweze kushikamana na Morogoro na hatimae Dar-Moro kue karibu zaidi kuliko dar-mkuranga kimkakati zaidi 🐒
 
Mzee watu hawatongozi hivyo unafikiri ukiniongelea Mimi ndio utakubaliwa inaonesha we ni Domo zege
Wapi nimemtongoza boss?kwavile sijakubaliana na ulichosema?ni mtazamo wangu tu sio lazma nifungamane na wewe unisifu,sijamtongoza na pia wakati nacomment alichokisema kiukweli sikua nimesoma avatar yake.ila bro una sumu asubui hivi?pewa bia basi upoe
 
We Domo zege unajipendekeza comment zaidi ya tatu
 
Ili kuonyesha kuwa mtoa mada ni mpumbavu unawatukana viongozi kabisa, bc Pwani yote iwe Dar ili ufurahie
 
Gentleman,
kibaha, mkuranga na kisarawe vitaendelea kua sehemu ya mkoa wa Pwani kimkakakati ili kusogeza huduma za kijamii karibu zaidi na wananchi na kupunguza msongamano wa wananchi ndani ya jiji la Dar es salaam, lakini pia kuchochea na kuongeza shughuli na fursa za kiuchumi maeneo hayo na kupanua zaidi mkoa wa Pwani uweze kushikamana na Morogoro na hatimae Dar-Moro kue karibu zaidi kuliko dar-mkuranga kimkakati zaidi 🐒
Mkakati Gani we ngedere hapo viongozi akili hawana
 
Wahini viwanja Kibaha kesho msijelaumiwa na watoto wenu kwamba mzee Ina maana hata chalinze haukuiona ukamate pori
 
Ili kuonyesha kuwa mtoa mada ni mpumbavu unawatukana viongozi kabisa, bc Pwani yote iwe Dar ili ufurahie
Nenda kawalambe miguu basi hao viongozi we mshamba
 
Ye kaona viongozi hawako timamu kwa hilo la kibaha kua dar na kumbe yeye ndo hayuko timamu...siunaona ushamkimbiza?umemsanua hayuko timamu

Usipokubaliana nae anaanza maneno ya ajabu
 
Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?

Maana naona kutoka Kibaha mpaka Mbezi Magufuli ni karibu kuliko kutoka Kariakoo mpaka Mbezi Magufuli, ambapo ndio kituo kikubwa cha mabasi Tanzania. Aisee, namuomba Rais wetu Samia aipanue Dar es Salaam kwa kuchukua ardhi ya Kibaha, maana hata daladala zinapandisha nauli kila siku kwa kigezo cha Kibaha kuwa mkoa mwingine, wakati unakuta umbali ni mdogo tu.
Hiyo ni issue ya kisheria na ni mchakato wala sio suala la huyo mama yenu.
Pia kwa logic yako unaona watu wanakaa dar kwa jina basi nchi mzima iitwe waridhike.
 
Nchi nzima iitwe dar inaweza kufikika Kwa dakika20 kama kibaha inavyofikika Kwa gari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom