Hivi wazee wa Dar es Salaam, ndio akina Nani?

Hivi wazee wa Dar es Salaam, ndio akina Nani?

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,878
Reaction score
4,441
Hivi wazee wa Dar es Salaam ndio wazee wa aina ipi? Na kigezo cha kuwa mzee wa Dar ni kipi? Na kwanini wawe wazee wa Dar es Salaam na isiwe Mtwara, Dodoma, Singida na sehemu zingine?

Na mara nyingi nawaona tu wazee wamevaa barakashia, msuli na kobazi tu waki enjoy ubwabwa wa bure na wengine wakinywa alkhasus, kahawa na kashata tu na wengi wao ni kutokea kariakoo na magomeni na sio sehemu zingine kama Mbagala, kimara au Buza?
 
Ni wale wazee waroho wa ubwabwa.
Wala ubwabwa kwa mkono juu kijikofia kati della chini kobaz.

Ili ufuzu kuingia kwenye "uzee wa daslam, sharti uwe mnyenyekevu, chawa, mzee wa ndiyo mzee na shabiki kindakindaki wa mbogamboga.
Wazee type hiyo wengi wanapatikana k/koo, migomigo na hata karume.
 
Wapuuzi fulani tu hivi huwa muda mwingi wanashinda kwenye vijiwe vya kahawa. Kiufupi hawana tofauti na wale masheikh wa bakwata. Huwa ukiwaalika, wewe wape maji tu ya kunywa ya kwenye zile chupa ndogo zinazouzwa rejareja 500!! Aisee watakupigia makofi mwanzo mwisho.
 
Ni wale wazee waroho wa ubwabwa.
Wala ubwabwa kwa mkono juu kijikofia kati della chini kobaz.

Ili ufuzu kuingia kwenye "uzee wa daslam, sharti uwe mnyenyekevu, chawa, mzee wa ndiyo mzee na shabiki kindakindaki wa mbogamboga.
Wazee type hiyo wengi wanapatikana k/koo, migomigo na hata karume.
Vigezo vya ziada kujua uganga walau kidogo, kucheza bao, enzi za ujana ulikuwa kishoka au dalali au tapeli mdogo mdogo. Tiyari una connection ya kuwa mzee wa Dar, ila utokee ile mitaa ya karibu na Lumumba.

Ni wale UVCCM wa zamani ambao hawakufikia kupewa vyeo walau uongozi wa mtaa.
 
Mimi ningeshauri kuanzia mitandao yote watupe wasifu wa mzee mmoja mmoja ili tujue wasifu wake,na ikiwezeka tuwatembele siku ya maandamano
 
Hivi wazee wa Dar es Salaam ndio wazee wa aina ipi? Na kigezo cha kuwa mzee wa Dar ni kipi? Na kwanini wawe wazee wa Dar es Salaam na isiwe Mtwara,Dodoma,Singida na sehemu zingine? Na maranyingi nawaona tu wazee wamevaa barakashia,msuli na kobazi tu waki enjoy ubwabwa wa bure na wengine wakinywa alkhasus,kahawa na kashata tu na wengi wao ni kutokea kariakoo na magomeni na sio sehemu zingine kama Mbagala,kimara au Buza?
>
Manara, Zembwela, Kitenge, Shetta, Dotto Magari, Diamond, Amber ruty, Kilomon, Magoma, Dewj nk
 
Hivi wazee wa Dar es Salaam ndio wazee wa aina ipi? Na kigezo cha kuwa mzee wa Dar ni kipi? Na kwanini wawe wazee wa Dar es Salaam na isiwe Mtwara, Dodoma, Singida na sehemu zingine?

Na mara nyingi nawaona tu wazee wamevaa barakashia, msuli na kobazi tu waki enjoy ubwabwa wa bure na wengine wakinywa alkhasus, kahawa na kashata tu na wengi wao ni kutokea kariakoo na magomeni na sio sehemu zingine kama Mbagala, kimara au Buza?
Masheikh ubwabwa
 
Umri, Kadi ya Chama na locality - Hata kama wewe unakidhi hivyo vigezo huenda mualiko upo njiani
 
Ni wale wazee waroho wa ubwabwa.
Wala ubwabwa kwa mkono juu kijikofia kati della chini kobaz.

Ili ufuzu kuingia kwenye "uzee wa daslam, sharti uwe mnyenyekevu, chawa, mzee wa ndiyo mzee na shabiki kindakindaki wa mbogamboga.
Wazee type hiyo wengi wanapatikana k/koo, migomigo na hata karume.
Uwe mshabiki wa yanga,bendi yako iwe msondo ngoma
 
Hawa wazee walikuwa na maana sana siku hizo Nyerere kijana akitaka kufanya mambo makubwa anakutana na kina Mzee Jumbe Tambaza.

Siku hizo Nyerere akishauriwa mambo ambayo anaona hayako sawa na washauri wake wasoni anaonhea na wazee kina Tabu Mangala.

Siku hizi Mzee wa Dar nani mji wenyewe umejaa watu wakuja tu?
 
 
Back
Top Bottom