Hivi kwanini Kibaha isiwe Dar es Salaam?

Nchi nzima iitwe dar inaweza kufikika Kwa dakika20 kama kibaha inavyofikika Kwa gari
🤣🤣🤣🤣 Ikiwa watu wamerundikana dar kwa sifa basi nchi nzima iitwe dar waridhike kwamba na wao wako dar ya vijijini
 
Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?

Maana naona kutoka Kibaha mpaka Mbezi Magufuli ni karibu kuliko kutoka Kariakoo mpaka Mbezi Magufuli, ambapo ndio kituo kikubwa cha mabasi Tanzania. Aisee, namuomba Rais wetu Samia aipanue Dar es Salaam kwa kuchukua ardhi ya Kibaha, maana hata daladala zinapandisha nauli kila siku kwa kigezo cha Kibaha kuwa mkoa mwingine, wakati unakuta umbali ni mdogo tu.
Kwahiyo mkoa wa Pwani haufai kuwa na facilities zailizoendelea sio? Siasa za Makonda za kuinyakua Mloganzila kutoka Pwani kuja Dar es Salaam! Wacheni upuuzi!
 
Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?

Maana naona kutoka Kibaha mpaka Mbezi Magufuli ni karibu kuliko kutoka Kariakoo mpaka Mbezi Magufuli, ambapo ndio kituo kikubwa cha mabasi Tanzania. Aisee, namuomba Rais wetu Samia aipanue Dar es Salaam kwa kuchukua ardhi ya Kibaha, maana hata daladala zinapandisha nauli kila siku kwa kigezo cha Kibaha kuwa mkoa mwingine, wakati unakuta umbali ni mdogo tu.
Kabisa
Halafu Kusini mwa lami hadi Bwawani hadi mpakani na Lindi uwe mkoa mwingine na Kaskazini mwa lami had mpakani na Tanga uwe mkoa mwingine tumechoka
 
Mkoa wa Pwani ugawanywe

Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe na Mkuranga ziunde jiji la Dar Es Salaam.

Rufiji, Kilwa, Mafia na Kibiti ziunde Mkoa wa Pwani/Rufiji/Kilwa.
Mkoa mpya wa nini tena ?...

Hizo Wilaya za Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe,Mkuranga, Rufiji kuwa Pwani hakuna tatizo hapo.
 
Na tuifanye Zanzibar kua Tanganyika, swala la Tanzania linatupotezea muda.
 
Kibaha ingefaa iwe dar tu kutokana na ukaribu
Hivi unajua Dar ilikuwa mkoa wa Pwani hapo kabla? Maendeleo yanapaswa kutawanywa!

Mimi sikupenda Magufuli kuruhusu Mloganzila kuingizwa Dar huku akijaribu kuimega Chato kutoka Geita na kuifanya mkoa baada ya kutumia rasilimali nyingi za Taifa kuiendeleza! Typical of double standards politics!

Ni sawa na Arusha city imeze Arumeru yoote! Kibaha inafaidika na kuwa karibu na Dar hata hapo ilipo bila hata ya kuwa Dar ni kutumia her strategic locations tu kuvutia uwekezaji!
 
Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?

Maana naona kutoka Kibaha mpaka Mbezi Magufuli ni karibu kuliko kutoka Kariakoo mpaka Mbezi Magufuli, ambapo ndio kituo kikubwa cha mabasi Tanzania. Aisee, namuomba Rais wetu Samia aipanue Dar es Salaam kwa kuchukua ardhi ya Kibaha, maana hata daladala zinapandisha nauli kila siku kwa kigezo cha Kibaha kuwa mkoa mwingine, wakati unakuta umbali ni mdogo tu.
Kibaha kwa Mathias nina DEMU WANGU hapo.
 
Hivi unajua Dar ilikuwa mkoa wa Pwani hapo kabla? Maendeleo yanapaswa kutawanywa!

Mimi sikupenda Magufuli kuruhusu Mloganzila kuingizwa Dar huku akijaribu kuimega Chato kutoka Geita na kuifanya mkoa baada ya kutumia rasilimali nyingi za Taifa kuiendeleza!

Ni sawa na Arusha city imeze Arumeru yoote! Kibaha inafaidika na kuwa karibu na Dar hata hapo ilipo!
Hapo alizingua
 
Back
Top Bottom