hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,037
- 3,848
ccm mbele kwa mbele
Huwezi kuelewa akili Yako ni fupiKwani kinachowazuia watu kujenga kibaha ni Kwa kua kibaha haiko dar?,hoja Yako Haina mashiko kwaiyo hata Tunduma iwe Zambia sababu ni karibu na Zambia au horohoro iwe Kenya sababu ya ukaribu na Kenya?