Hivi, Kuna uwezekano wa kujua Location ya Mtu alipo kupitia simu yangu Wakuu?

Sasa kiongozi GPS ikiwa ON kwenye simu yake, unajuaje location aliyopo unatumia app au unafanyaje mkuu...?
Simu ya mlengwa iwe na app ya find my device.
Halafu unatakiwa uijue e-mail iliyotumika kwenye simu ya mlengwa.
Kisha, unaingia kwenye browser na unasearch find my device ambapo utaingiza email ya mlengwa.

Ukifanikiwa, utaona live location ya simu kwenye Google map. Kiufupi kupata ya simu Kwa GPS ni lazima kuwe kuna app itakayosoma latitude na longitude kwenye simu y mlengwa.

Njia nyingine ni IMEI na namba ya simu, hapa polisi na tcra wanahusika. Kwa sababu wao Wana haki kisheria ku-access taarifa za watu kwenye mitandao yote nchini.
 
Nashkuru sana kwa mchango wako kiongozi.
 
Inawezekana kabisa tena kivyovyote eidha kujua anafanya nini kwenye simu yake au amehifadhi nini kwenye simu yake, eidha location au chochote, eidha kwa yeye kujua au asijue, eidha kwa kuijua namba yake ya simu au email au nida au...

Lakini kaa ukijua yote hayo ni kinyume cha sheria hivyo hakuna atakayekuwekea hadharani hapa, ni kazi za watu hizi

Hatahivyo, mimi siyo katika wenye kujua mautundu hayo usije ukanijia nitakutapeli bure!
 
Sawa kiongozi...!
 
Heshima kwenu wakuu.

Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu?

Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu?

NAWASILISHA.
Kwa mtu alie na basic knowledge ya udukuzi au ni advanced hacker huwa wanafanya hivi, inaundwa payload kwanza ambayo wanajua wao wameweka nini ili kusaidia kupata infos kwa victim, sasa kinachofanyika ile payload inapachikwa kwenye either link, apk, photo au kitu chochote ambacho victim anaeza vutiwa nacho! Akishamaliza hivyo anakutumia kama ni link basi inakua na maelezo mengi ya kukuhamasisha ui click (refer kwa zile affiliate program links au zile sijui unaambiwa click link kupata gb30 za internet mitandao yote duniani nafikiri ushakutana nazo links za design hiyo)

Hapo uki click link au ku install app labda kakutumia ile payload inajifungua na kujipa permissions automatically au kama umeipa app permissions nayo unakua umejikaanga pia inafanya kazi chap kuchukua infos ilizo codiwa kuzibeba mfano IP Address, Mac Address, IMEI no, Phone Contacts, Model ya simu nk yaani inaeeza chukua infos zote muhimu kwenye simu yako au kifaa kingine unapokua connected to kwenye internet.

Sasa ikisha kusanya hizo infos inampa mhusika kinachofata nafikiri kama ana lengo zuri au baya na wewe basi utajua hujui kama kapata contacts wako anaweza mpigia mmoja wa rafiki/ndugu wa karibu akamuuliza mawili matatu kuhusu ulipo au kama ni advanced hacker anaweza kukamilisha hitaji lake kupitia IP Address (kama huku tumia VPN atapata real location yako) au kupitia Mac Address. Hizo payloads huwa wanaunda kwenye termux (kwa Android smartphones) Kali Linux au Andrax hizi ni platforms za computer.

Cha msingi na sekondari epuka ku click links zisizo na maana au zisioeleweka, make nyingine ni za ma script kiddies (vidukuzi vinavyojifunza na kutaka kujaribu practically) so unaweza jikuta ume formatiwa kifaa chako au kuibiwa infos muhimu zikatumiwa vibaya kukuchafua au kukudharirisha.. Pia epuka ku install apks hovyo, unakuta unatumiwa apk ya whatsapp ina kb 300 au mb 3 naww una install tu hujiulizi au hujui apk ya whatsapp ina ukubwa wa mb zaidi ya 50+mb..
 
Elimu nzuri sana hii. Asante sana.
 
Ahsante sana kiongozi kwa madini haya sasa hauna payload unayoifahamu ambayo Ina uwezo wa kufanya hayo mambo mkuu...?
 
Back
Top Bottom