Najuaje location ya mtu ambae hataki kupokea simu yangu

Najuaje location ya mtu ambae hataki kupokea simu yangu

Kuna mtu nlimpa Bajaj ya mzigo kwa mkataba na amekimbia nayo hajulikani alipo, nikipiga simu hapokei na muda mwingne haipatikani kabisa. Ntawezaje kumpata mtu kama huyu..?
Kuna websites na apps nyingi tuu naweza kukutumia link but ni za kulipia, sio tuu kuona location yake, but unaweza soma text zake za whatsapp na telegram, unaweza sikia calls zake, unaweza kuona mambo yake yote.

Ndo huwaga natumiaga kuwa monitor watu wangu wa karibu.
 
Unafanya mambo ya mikataba hakikisha yupo mdhamini ambae anaweza kukulipa, kama ulimpa babaji na una ushahidi juu ya hilo nenda karipoti polic , utabata msaada mzuli sana kwa sababu cm bado inaita,

Njia ya pili ni tafuta mwamke ,kisha ampgie cm kwa namba ngeni, jamaa akipokea ajifanye anamtafuta mtu fulani ktk mazingila ya kuwa umekosea namba sio mm unatakiwa umuulize kwanza ww upo wapi mm nilikuwa ninamtafuta fulani , baada ya mazungumzo hayo utakuwa umepata mwanga wa wapi pa kuanzia
 
Kuna websites nyingi tuu naweza kukutumia link but ni za kulipia, sio tuu kuona location yake, but unaweza soma text zake za whatsapp na telegram, unaweza sikia calls zake, unaweza kuona mambo yake yote.

Ndo huwaga natumiaga kuwa monitor watu wangu wa karibu.
Telegram walitoa Dola million Moja kwa yeyote anayeweza kuhack akaunti ya mwenzake na kusoma texts zake, kijana ulikua wapi?
 
Unafanya mambo ya mikataba hakikisha yupo mdhamini ambae anaweza kukulipa, kama ulimpa babaji na una ushahidi juu ya hilo nenda karipoti polic...
Asante sana kwa ushauri wako, kesho ntaamuka nao na ntaanza kuufanyia kazi mapema iwezekanavyo
 
Inshu kam hiyo ni nyepesi sana ila inahitaj pesa ili ikamilike cha kufanya nenda Police waelezee maelezo yote,

kisha waambie wakusaidie kuihack hiyo simu ili ijulikane Location iliyopo pamoja na Chatting zake, hat kam ni simu ndogo ya button inawez kuwa traced siku hizi,

ila hapo ukitak huo mchakato uende harak sana lazima utoe hela ya maji kidog kwa police,

Japokuw hyo huduma hutolewa bure kabsa ila kam ujuavyo kweny vyombo vyetu vya Dola mkono mtupu haulambwi.
 
Pole sana mkuu.

Biashara ya bajaji na bodaboda iwe ni day au mkataba kama mmiliki wa chombo hauko makini utakuwa mtu wa kulialia na kupata hasara daily.

Hapo kama mliandikishiana mkataba watie ndani wadhamini wake.
 
Back
Top Bottom