Nataka kujua location ya tapeli aliyenitapeli pesa yangu

kingunge wa jf

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
455
424
Wana jukwaa naomba kujua namna ya kujua alipo mwizi wangu aliyenitapeli mil 1. Nimejuana nae kwa kuunganishwa na jamaa mmoja kwamba anauzq spare parts.. amekuwa akiniuzia natuma pesa anatuma spea lakini hivi karibuni nilituma mil 1 ili anifungie mpk sasa siku ya 5 hapokei simu anajibu sms tu kwamba 'Ntakuchek muda si mrefu'.

Je kuna mtu humu anaweza kunisaidia kujua location yake? Namjua kwa sura na anakaa mikoa ya kusini.
 
Poa
 
Nenda Police wale wanaweza mtrack vizuri sana kwa kutumia mtu wa karibu yake wanaye wasiliana naye mara kwa mara anaweza hata kuwa Mke wake au rafiki yake wa karibu, huyo ndio atakamatwa na kuambiwa ampigie simu jamaaa aje, akifika anawekwa chini. Hio ndio njia rahisi na isio weza kushutukiwa, wewe fikiria Mke wako anakupigia simu kwamba Mpenzi njoo sehemu fulani nimekwama hapa, lazima uende na ukifika ndio kwa heri.
 
Nenda polis kata RB, then nenda mtandao wa simu wafanye print out, kazi itakuwa imeisha
 
Nenda Police wale wanaweza mtrack vizuri sana kwa kutumia mtu wa karibu yake wanaye wasiliana naye mara kwa mara anaweza hata kuwa Mke wake au rafiki yake wa karibu, huyo ndio atakamatwa na kuambiwa ampigie simu jamaaa aje, akifika anawekwa chini. Hio ndio njia rahisi na isio weza kushutukiwa, wewe fikiria Mke wako anakupigia simu kwamba Mpenzi njoo sehemu fulani nimekwama hapa, lazima uende na ukifika ndio kwa heri.
Sawa
 
Kaa wiki moja pasipo mtafuta, baada ya wiki kupita mtumie sms kuwa pesa yako haliwi kizembe kilichomtokea ni jaribio tu asubilie picha , nakwambia siku haishi atakutafuta kwa sababu kama ni mjanja hawezi maliza wiki ajapata tatizo so ukimwambia hivyo stamina matatizo aliyopata ni wewe umesababisha
 
Wana jukwaa naomba kujua namna ya kujua alipo mwizi wangu aliyenitapeli mil 1. Nimejuana nae kwa kuunganishwa na jamaa mmoja kwamba anauzq spare parts.. amekuwa akiniuzia natuma pesa anatuma spea lakini hivi karibuni nilituma mil 1 ili anifungie mpk sasa siku ya 5 hapokei simu anajibu sms tu kwamba 'Ntakuchek muda si mrefu'.

Je kuna mtu humu anaweza kunisaidia kujua location yake? Namjua kwa sura na anakaa mikoa ya kusini.
...Unafanya Biashara na Mtu Hata humjui anapofanyia Biashara yake ??
Ongeza Milioni 3 nyingine azipige !!

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom