Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
๐ง๐ฒ๐ธ๐ป๐ผ๐น๐ถ๐ท๐ถ๐ฎ ๐ต๐ถ๐ถ ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐๐ถ๐๐ฒ๐ฒ๐ฒ!
Umeshawahi kuiona simu ambayo unaweza kutumia bila kuishika ?? Teknolijia inakwenda Kasi sana kuna kitu kinaitwa Humane Ai pin unakijua ?? Niazime dakika moja tu nikuambie jinsi simu za android & iphone zitakwenda kufa.
Inaitwa Humane AI pin ni teknolijia ambayo inatumia mfumo wa projekta unaweza kuivaa kwa kubandika kwenye nguo yako na kufanya Kazi kama vile simu za mkononi smartphone kwa kutumia apps, kupiga simu na kupata msaada wa sauti kupitia mkono au Uso wako.
Imeundwa kwa kutumia akili bandia na mkurugenzi wa zamani wa Apple Mr Imran chaundri na timu yake. Ikiwa na OpenAi Gpt inakupa nguvu ya kufanya au kuuliza chochote kwa njia ya kupiga simu, kutuma message kupitia sauti na mkono.
Chaundri amesema tunaita Pin kwa kuwa ni aina ya kifaa ambacho unakichomeka mahali au unakivaa Wala uhitaji simu au kifaa kingine kukiunganisha.
Nini kilichopo ndani yake
โข unaweza kupokea simu na kuona nani amepiga kupitia mkono wako
โข anatumia akili bandia yenye uwezo wa kujibu maswali yoyote utakayomuuliza
โข anaweza kukupa msaada ikiwa utamuuliza kitu na umekwama mahali labda wapi nitapata mgawaha mzuri kwa ajili ya familia yangu itaweza kukujibu
โข unaweza kutuma Message kwa kumuambia
โข anaweza kubadili sauti yako na kuipeleka
lugha yoyote bila mtu mwingine kujua na kuonekana unaongea wewe kwa mfano unaweza kuongea kiswahili ukaonekana unaongea kifaransa, kichina , kimakonde nk.
Unaweza kukiweka kwenye mfuko wa shati mbele au kuninginiza mahali popote unapotaka.
.
Source #bongotech255